Mwenyekiti wa Tanzania Mitindo House,Khadija Mwanamboka (kulia) akiwa katika studio za Voice of America mjini Washington DC kutangaza kazi za Tanzania Mitindo House.hapa ni baada ya mahojiano na Mtangazaji mahiri wa Idhaa ya Kiswahili VOA,Sunday Shomar na Belinda Mlingo ambaye ni mbunifu wa mitindo anayeishi na kufanya kazi mjini Washington DC.

Hana lolote huyo anauza tu sura hapo na kupiga umbeya kwenye maofisi ya watu bongo.
ReplyDeleteWadau wanamjua huyu Belinda.Mambo ya ubunifu ameanza lini? Ebu historia iwekwe vema.
ReplyDeleteGO KHADIJA GO; GREAT STUFF; KEEP UP THE GREAT SPIRITY; I AM YOUR FAN - JOE S O/BAY
ReplyDeleteSunday nakuona unakula kwa nakshi nakshi:)
ReplyDelete(US Blogger)