Mwenyekiti wa Tanzania Mitindo House,Khadija Mwanamboka (kulia) akiwa katika studio za Voice of America mjini Washington DC kutangaza kazi za Tanzania Mitindo House.hapa ni baada ya mahojiano na Mtangazaji mahiri wa Idhaa ya Kiswahili VOA,Sunday Shomar na Belinda Mlingo ambaye ni mbunifu wa mitindo anayeishi na kufanya kazi mjini Washington DC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hana lolote huyo anauza tu sura hapo na kupiga umbeya kwenye maofisi ya watu bongo.

    ReplyDelete
  2. Wadau wanamjua huyu Belinda.Mambo ya ubunifu ameanza lini? Ebu historia iwekwe vema.

    ReplyDelete
  3. GO KHADIJA GO; GREAT STUFF; KEEP UP THE GREAT SPIRITY; I AM YOUR FAN - JOE S O/BAY

    ReplyDelete
  4. Sunday nakuona unakula kwa nakshi nakshi:)

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...