hiki ni kibonzo cha leo toka kwa Katunist Nathan Mpangala.
Kwa katuni zaidi bofya hapo

www.nathankatuni.wordpress.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. I must admit Mwisho looks like a real winner here. Booze and a woman! What else does a man need? lol.

    ReplyDelete
  2. watanzania sikuzote wanapenda stare na chini. wapopo(wa naigeria) kama wachaga wanapenda staree na wanawake nila katika posho ana upenzi na mtu.

    ReplyDelete
  3. Hapa tunazungumzia REAL IMAGE ya Mtanzania!......yani hapo mzee ndo keshatudhalilisha....ina mana WE ARE NOT LESS THAN THAT!

    ReplyDelete
  4. This is a bad reflection ever! Alianza vizuri baadae akajisahau kama yuko kwenye mashindano na kuuanza kupractise kuwa mume wa Merly a woman who previously admitted to be in relation with 30 different men at the age of 24 plus 2 kids na mmoja kamdhurumu haki ya kunyonya. I dont think if voter would have been interested with this kind of relationship. Hii ni kinyume kabisa na maadili ya kiafrika. Pole sana Mwisho but you deserved what you got

    ReplyDelete
  5. Acheni longolongo, nyie si ndio mlitakiwa kumsapoti, mlipiga kura? Kwani mshindi alijipigia kura mwenyewe? Mbona hamjawahi kuchora katuni ikiwaonyesha mnampigia kura?

    ReplyDelete
  6. mbona hata hivyo ameshinda? hamuona kaopoa na chuma chenye watoto wawili, tayari nguvu kazi tanzania imeongezeka meryl na watoto wake 2

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...