Home
Unlabelled
libeneke la dr. manyuki na nyuki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hao watakuwa nyuki wa kichina !!
ReplyDeleteMdau Paris
kazi za uganga deal sana bongo.
ReplyDeleteMganga anaingiza kipata kuliko fisadi. lol
Baba mtu mzima una cheza na nyuki, loh tafuta ajira nyingine.
ReplyDeletemdau(mama nitilie)
mama rukiya
Hapo mshikaji anawatangazia wagombea uongozi kuwa wakimuona na akawafanyia mambo yake, Kwenye mikutano yao watu watajaa kama nyuki
ReplyDeleteAnkal, mimi nimekushtukia kuwa wewe unakuwa na interest sana na hawa jamaa wa miti shamba. mara mr manyuki mara yule jamaa wa mapaka, mara huyu mara yule! Inaelekea wewe ni mteja wao mzuri sana na ndo' maana unakuwa unawafagilia kwa sana now and then! Uongo?
ReplyDeletehatari kwa jamii ni kosa la jinai kutembea na wadudu kama hao wenye kuhatarisha maisha ya binadamu
ReplyDeletekwa huko bongo kila kitu ni poa hakuna sheria wala haki ya mtu
mdau wa mahakama kuu ya dunia..holland
unamkamata malkia wa nyuki na kumweka kwenye kibiriti basi nyuki wakisikia harufu yake wana kuganda kama hivyo na hawaku gati. NB unaweza kumkama wakati wa kurina asali au kama katoka kupandana na madume
ReplyDelete