Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. hao watakuwa nyuki wa kichina !!
    Mdau Paris

    ReplyDelete
  2. kazi za uganga deal sana bongo.
    Mganga anaingiza kipata kuliko fisadi. lol

    ReplyDelete
  3. Baba mtu mzima una cheza na nyuki, loh tafuta ajira nyingine.

    mdau(mama nitilie)
    mama rukiya

    ReplyDelete
  4. Hapo mshikaji anawatangazia wagombea uongozi kuwa wakimuona na akawafanyia mambo yake, Kwenye mikutano yao watu watajaa kama nyuki

    ReplyDelete
  5. Ankal, mimi nimekushtukia kuwa wewe unakuwa na interest sana na hawa jamaa wa miti shamba. mara mr manyuki mara yule jamaa wa mapaka, mara huyu mara yule! Inaelekea wewe ni mteja wao mzuri sana na ndo' maana unakuwa unawafagilia kwa sana now and then! Uongo?

    ReplyDelete
  6. hatari kwa jamii ni kosa la jinai kutembea na wadudu kama hao wenye kuhatarisha maisha ya binadamu

    kwa huko bongo kila kitu ni poa hakuna sheria wala haki ya mtu

    mdau wa mahakama kuu ya dunia..holland

    ReplyDelete
  7. unamkamata malkia wa nyuki na kumweka kwenye kibiriti basi nyuki wakisikia harufu yake wana kuganda kama hivyo na hawaku gati. NB unaweza kumkama wakati wa kurina asali au kama katoka kupandana na madume

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...