Show zitafanyika katika miji mitatu ya UK.
6th NOVEMBA
CLUB OPUS
Theatre Distric
Savoy Cresent
Milton Keynes MK9 5UP
12 NOVEMBA
THE CLUB
179 – 183 London Road
Croydon, London
CRO 2LR
27 NOVEMBA
PANAMA BAR
Gas ST
Birmingham
B1 2JT
Vilevile Urban Tour ikishirikiana na Tanzanian Community itakuwa inafanya Kampeni dhidi ya gonjwa la Malaria ambalo linaangamiza binaadamu wengi duniani
6th NOVEMBA
CLUB OPUS
Theatre Distric
Savoy Cresent
Milton Keynes MK9 5UP
12 NOVEMBA
THE CLUB
179 – 183 London Road
Croydon, London
CRO 2LR
27 NOVEMBA
PANAMA BAR
Gas ST
Birmingham
B1 2JT
Vilevile Urban Tour ikishirikiana na Tanzanian Community itakuwa inafanya Kampeni dhidi ya gonjwa la Malaria ambalo linaangamiza binaadamu wengi duniani
Wote mnakaribishwa kuja kuparty kwa Swaga za Kibongo na UK, baadhi ya mapato yatakwenda kuchangia kwenye upambanaji wa Malaria
WOTE MAKARIBISHWA
WOTE MAKARIBISHWA
Frank Eyembe
URBAN PULSE CREATIVE MEDIA
hahaha wadau haya ndio maisha yetu sisi wabongo huku mtoni. ni box ,madude baadae mashauzi kwenye madisko. lkn safi sana tunafarijika.
ReplyDeletemaisha_utani4rever
...that fire sisy ni noma mzee..
ReplyDeleteNaona urban pulse wamekwenda another level,wanaleta msanii na ana perform katika a proper club,na wanatangaza hii event ki proffessional but mbona entrance fee wameweka kapuni au mnataka kutu nutmeg mlangoni hii ni turnoff na umay end up losing patrons
ReplyDelete..Huu Upambanaji na MALARIA ndo ulipelekea SUGU agombee Ubunge Mbeya Mjini.
ReplyDeleteSasa tengenezeni hiyo deal.. then ikifika tu Bongo, wajanja wa Kulaodds Radio/TV waitaifishe kwa nguvu za mzee wa Kaya.
Hapo itapelekea na nyinyi muazimie kugombea Urais 2015.
kwahiyo huyu diamond hatapiga kura.ama alijiandikishia huko?
ReplyDelete