Show zitafanyika katika miji mitatu ya UK.
6th NOVEMBA
CLUB OPUS
Theatre Distric
Savoy Cresent
Milton Keynes MK9 5UP

12 NOVEMBA
THE CLUB
179 – 183 London Road
Croydon, London
CRO 2LR

27 NOVEMBA
PANAMA BAR
Gas ST
Birmingham
B1 2JT

Vilevile Urban Tour ikishirikiana na Tanzanian Community itakuwa inafanya Kampeni dhidi ya gonjwa la Malaria ambalo linaangamiza binaadamu wengi duniani
Wote mnakaribishwa kuja kuparty kwa Swaga za Kibongo na UK, baadhi ya mapato yatakwenda kuchangia kwenye upambanaji wa Malaria
WOTE MAKARIBISHWA

Frank Eyembe
URBAN PULSE CREATIVE MEDIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hahaha wadau haya ndio maisha yetu sisi wabongo huku mtoni. ni box ,madude baadae mashauzi kwenye madisko. lkn safi sana tunafarijika.
    maisha_utani4rever

    ReplyDelete
  2. ...that fire sisy ni noma mzee..

    ReplyDelete
  3. Naona urban pulse wamekwenda another level,wanaleta msanii na ana perform katika a proper club,na wanatangaza hii event ki proffessional but mbona entrance fee wameweka kapuni au mnataka kutu nutmeg mlangoni hii ni turnoff na umay end up losing patrons

    ReplyDelete
  4. ..Huu Upambanaji na MALARIA ndo ulipelekea SUGU agombee Ubunge Mbeya Mjini.
    Sasa tengenezeni hiyo deal.. then ikifika tu Bongo, wajanja wa Kulaodds Radio/TV waitaifishe kwa nguvu za mzee wa Kaya.
    Hapo itapelekea na nyinyi muazimie kugombea Urais 2015.

    ReplyDelete
  5. kwahiyo huyu diamond hatapiga kura.ama alijiandikishia huko?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...