Shadya Maulid Kitenge, mtoto wa mtangazaji wa Radio One na ITV Maulid Kitenge akihojiwa na Jane wa TBC baada ya kumaliza mchezo wake wakati wa michuano ya Tenis ya Vijana yaliyoshirikisha vijana chini ya miaka 8, 10, 14 na 18 yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya Tenis ya Kijitonyama DSM.
Shadya Maulid Kitenge akipeana mkono na mpinzani wake mara baada ya mchezo wao ambao Shadya aliibuka mshindi.
Shadya akipiga mpira, katika mashindano ya vijana ya Tenis yaliyoandaliwa na klabu ya Tenis ya Kijitonyama na kushirikisha watoto toka Dar es Salaam, Arusha, Morogoro na Pwani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kaka hujamtendea haki Kijana shadya. Iko wapi taswira yake akiwa in action? kunamaelezo tu.
    Bwana maulid Hongera kwa kumpatia binti malezi bora. Kunasiku atakuwa mmoja kati ya maproo wa bongo huyo katika tennis. Tumpe moyo na suport binti yetu huyo.

    ReplyDelete
  2. Mamaaa wa FB - TBC1 nakuona hapo uko kazini PC za News Room zilikua zina kumiss. Hongera kwa Kutangaza vipaji vya watoto. Nitaangalia Blog yako kwa kuchakachua zaidi.

    ReplyDelete
  3. Safi sana, tujaribu michezo mingine kwani tunaweza kufanikiwa zaidi kuliko kuikamia michezo yenye fitna tu!!

    ReplyDelete
  4. Nilikuwa nataka kujua tu, binti mrembo Shadya ni mtoto wa nani? kwa maana ya mama yake, manake Mau ana wake wengi ati!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...