Wadau,

TIII KURA YAKO kwa kumchagua mgombea anayestahili

Ukiingia kwenye website ya NEC na kuweka nambari ya mpiga kura utaweza ona online status yako (mpiga kura) na kituo chako cha kupigia kura. Taarifa wanazozitoa ni sahihi kwa asilimia 100. Wadau wote tutizame status zetu ili kuepukana na disappointments za dakika za mwisho.

Hii itazidi kutupa uhakika wa kupiga kura zetu sahihi siku hiyo ya tarehe 31 Oct 2010.

Hongereni NEC kwa kuweza kufanikisha hili.

Link ya kufuata ni hii…

http://www.nec.go.tz/?modules=gallery⊂

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. MLITAKIWA MFANYE KAMA ZEC,NJIA YA SMS NI NZURI ZAIDI KWANI WATANZANIA WENGI HAWANA ACCESS YA INTERNET JAPOKUWA WANA SIMU ZA MKONONI.MNATAKIWA KUBADILIKA KAMA WENZENU WA ZANZIBAR.

    ReplyDelete
  2. HAWA NEC VIPI! HII ILITAKIWA ITOLEWE WMANZONI MWA MWAKA ILI KAMA KUNA KOSA LIWEZE KUSAHIHISHWA, SASA WANAPOTOA LEO NIKIKUTA KOSA LITAWEZWAJE KUREKEBISHA? WIKI ILIYOPITA WALITUAMBIA TUTUME NAMBA YA KITAMBULISHO KUPITIA NAMBA YA SIMU WALIYOTOA, LAKINI CHA AJABU MIMI NILITUMA MPAKA LEO SIJAPATA JIBU. NINADHANI HII YOTE WANATOA SASA KUJISAFISHA IONEKANE UCHAGUZI ULIENDESHWA KWA HAKI.

    ReplyDelete
  3. NIMEJARI INAFANYA KAZI VIZURI ILA JINA LANGU LA MWISHO TU NDIO WAMEKOSEA SPELLING MOJA - SIO MBAYA
    TENA UTAPATA JIBU HAPO HAPO UKIBONYEZA TU HUNA HAJA YA KUFUNGUA EMAIL YAKO' ALEX BURA JOE SHFF, DAR

    ReplyDelete
  4. Nimepoteza kitambulisho cha mpiga kura

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...