JK akiwa na waziri wa mambo ya nje Mh. Bernard Membe katika mkutano wa kampeni jimboni Mtama, mkoani Lindi, Oktoba 20, 2010. Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
membe amfagilia JK, aweka rekodi sawa kuhusu madai ya udini serikalini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
nasubiri comment zije nisome, walahi tena.
ReplyDeleteSi huwa hamtaki kuzungumza kuhusu tatizo la udini. Manasema haupo, basi.
ReplyDeleteIla kwenye uchaguzi, na kama unawaumizeni.
kama upo, katiba iko kimya, hamna hata kifungu cha sheria cha kufuata sheria na kushtaki mahakamani.
Huyu membe mbona anafaa kuwa raisi ajaye.Anasema manano ambayo wakristo wengi hawayasemi.
ReplyDeleteLakini kuhusu udini, mbon hizo data zinaonyesha kuwepo udini? tehe, tehe, dini moja wako wengi zaidi, tehe....
Najuwa utetezi, hao wengine hawakusoma japo ni 50% ya watu woote.
Au (wengine husema), kweli mdini, ametoa 8% mpaka 40% ya mawaziri na Makamishna?
mbona udini upo sana tangu awamu ya kwanza ya serikali TZ? nyie mnauona leo? au kwa kuwa serikali ya sasa inaweka usawa kwa dini zote. Hao mnaowalaumu wamesoma sana licha ya kubaguliwa kupata hizo nafasi za masomo na nafasi za kazi.(huo ndo ukweli na ndivyo ilivyo waislamu wanabaguliwa) Msiongelee ushabiki pimeni mambo kwa akili na mfanye tafiti hilo mtaligundua.
ReplyDeleteMbona data za mawaziri wengi kuwa waislamu zaidi ya wakristo hazipatikani?
ReplyDeleteMbona haitokei, tena mkristo akiwa raisi? ili kujua kama hatuna udini?
Hata hivyo, viongozi wajao huenda wakafuta kuwepo kwa data zinazotia wasiwasi kuwepo kwa udini.
Mungu peke yake ndo anajuwa kama upo au hamna.
ReplyDeleteKama JK aliteua kwa kuangalia kuwa dini fulani lazima wawe wachache basi alikuwa anaogopa udini.
Hata hivyo woga wake haujamsaidia, kwani malalamiko yapo.
Kwa nini mnatangaza hizo data kama kionyeshi? Fanyeni 50/50
ReplyDeleteMbona hayo yanasemwa na membe tuu. Kwa sababu alikupa uwaziri wa uraisi?
ReplyDeleteNionavyo: wapiga kura kama 80% hawana udini. Ila wachaguliwa wanaweza kuwa nao.
ReplyDeleteHivi kwa nini mnazungumza topic hii?
ReplyDeleteNchi yetu haina udini wala ukabila.