Hivi ndivyo lionekanavyo jumba linalotumiwa na washiriki wa Kili Bongo Star Search 2010 chini ya udhamini mkuwa wa kampuni ya bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Kilimanjaro Premium Lager,uliopo maeneo ya Mikocheni,jijini Dar. ambapo mpaka sasa washiriki ishirini wapo ndani ya mjengo huu na watakaa mpaka mashindano BSS yatakapo malizika kwa mwaka huu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. hizi ni rangi za shule za primary kule zenji,kuonesha kuwa wanafunzi wavae uniform hizo,na pia hospitali kwa zenji sijui kwa hapo zinamaanisha nini ?

    ReplyDelete
  2. utazani shule ya secondary! na hizo colors si pos kabisa

    ReplyDelete
  3. Rangi za bia ya Kilimanjaro hizo wakuu, kama zenji wanaruhusu mapambo ya kilaji mashuleni basi wameendelea...tihi

    ReplyDelete
  4. Madesigner wa bongo mweee ...kila kitu kinahitaji kwenda shule sio kujifungulia tu makampuni bila kujua mnachofanya. Hapo kalipwa mtu hela yake kudesign that thing au labda ni mchina alipewa hiyo tenda..

    ReplyDelete
  5. HIKI NI NINI TENA?? HIZO RANGI JAMANI? NI NINI TENA?

    ReplyDelete
  6. Afadhali kama ingepakwa ranngi ya kijani - kulingana na ujumbe wa kutunza mazingira (eco-friendly)!

    Haina maana ya ki-siasa kwa wale wenye kupenda kuangalia kwa makengeza ya vyama vya ki-siasa!

    ReplyDelete
  7. rangi za uchaggani hizi ha ha ha ah

    ReplyDelete
  8. Wadau mimi sielewi.
    Hivi hii nyuma inamilikiwa na dada Rita au BSS ni wapangaji?

    ReplyDelete
  9. Mdau mmoja amewasaidi hapo kuwa hizo ni rangi za Bia ya Kilimanjaro,nyie mmekomaa madisigner,sijui kijani,wenzenu wako kibiashara,na hizo rangi katika hilo jengo ni za muda tu,naamini wamelikodi.

    ReplyDelete
  10. wATU MNAPENDA KUKANDIA KILA KITU KINACHOFANYWA HAKUNA APPRECIATION KWA KAZI ZA WENZENU, KILA MTU ANA MAPENI YAKE KWENYE VITU TOFAUTI, RANGI, MAVAZI,DESIGN, TASTE NK UNACHOPENDA WEWE SIO LAZIMA MIMI NIPENDE NA VICE VERSA-SASA KAMA WEWE HUJAPENDA HIYO RANGI JENGA JENGO LAKO NA PAKA RANGI YAKO UITAKAYO!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...