Home
Unlabelled
mjeno wa BSS unavyoonekana kwa mbele
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hizi ni rangi za shule za primary kule zenji,kuonesha kuwa wanafunzi wavae uniform hizo,na pia hospitali kwa zenji sijui kwa hapo zinamaanisha nini ?
ReplyDeleteutazani shule ya secondary! na hizo colors si pos kabisa
ReplyDeleteRangi za bia ya Kilimanjaro hizo wakuu, kama zenji wanaruhusu mapambo ya kilaji mashuleni basi wameendelea...tihi
ReplyDeleteMadesigner wa bongo mweee ...kila kitu kinahitaji kwenda shule sio kujifungulia tu makampuni bila kujua mnachofanya. Hapo kalipwa mtu hela yake kudesign that thing au labda ni mchina alipewa hiyo tenda..
ReplyDeleteHIKI NI NINI TENA?? HIZO RANGI JAMANI? NI NINI TENA?
ReplyDeleteAfadhali kama ingepakwa ranngi ya kijani - kulingana na ujumbe wa kutunza mazingira (eco-friendly)!
ReplyDeleteHaina maana ya ki-siasa kwa wale wenye kupenda kuangalia kwa makengeza ya vyama vya ki-siasa!
rangi za uchaggani hizi ha ha ha ah
ReplyDeleteWadau mimi sielewi.
ReplyDeleteHivi hii nyuma inamilikiwa na dada Rita au BSS ni wapangaji?
Mdau mmoja amewasaidi hapo kuwa hizo ni rangi za Bia ya Kilimanjaro,nyie mmekomaa madisigner,sijui kijani,wenzenu wako kibiashara,na hizo rangi katika hilo jengo ni za muda tu,naamini wamelikodi.
ReplyDeletewATU MNAPENDA KUKANDIA KILA KITU KINACHOFANYWA HAKUNA APPRECIATION KWA KAZI ZA WENZENU, KILA MTU ANA MAPENI YAKE KWENYE VITU TOFAUTI, RANGI, MAVAZI,DESIGN, TASTE NK UNACHOPENDA WEWE SIO LAZIMA MIMI NIPENDE NA VICE VERSA-SASA KAMA WEWE HUJAPENDA HIYO RANGI JENGA JENGO LAKO NA PAKA RANGI YAKO UITAKAYO!
ReplyDelete