Mwekezaji wa jengo la kibiashara lilipo ndani ya manispaa ya Bukoba lililozinduliwa na Mwenge, Salvatory Lwabizi akiwa ameubeba mwenge wa uhuru.
Mgombea wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Bukoba mjini,Wilfred Lwakatare kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiongea na baadhi ya wakimbiza mwenge kitaifa, wakimbiza mwenge hao walimwagia sifa kemkemi Lwakatare katika hotuba zao walizozitoa kwa tofauti kwa kumuita mwanasiasa mahili katika nchi hii.

akina ras makunja vipi! wazee naona mpo bize na moto wa taifa aka mwenge,poleni sana kwa kazi
ReplyDeletehi!akina ras makunja leo mbona hamna magitaa???harafu pamba naona mpya ?safi sana
ReplyDeleteOgela Rwakatare,Mzee Lwabizi ongera pia kuupamba mji wetu ingawa ni ndogo.
ReplyDeleteakina ras makunja mmependeza ,tena mmetoka chicha kweli...we acha tuu
ReplyDelete