MJOMBA MICHUZI MIMI NI MDAU NILIYEFIKA HAPA ITALY KATIKA JIJI LA TURIN LAKINI SIJABAHATIKA KUKUTANA NA MTANZANIA YEYOTE NA WALA SINA TAARIFA ZOZOTE KUHUSU UWEPO WA MTANZANIA YEYOTE HAPA.
NIPO HAPA KWA SASA NI WIKI MBILI NAHISI UPWEKE MKUBWA SAAAAAANA KWANI SINA MTU YEYOTE WA KUONGEA NAE KIKWETU KIMATUMBI YAANI KISWAHILI, NAOMBA KWA YEYOTE MTANZANIA HAPA NAOMBA TUWASILIANE ILI KIKOMBE HIKI CHA UPWEKE KINIEPUKE.
EMAIL YANGU: mtanzaniamwenzenu@yahoo.com
MJOMBA MICHUZI NINA IMAN KUPITIA BLOG YEETU HII ILIYOTUKUKA NITAWEZA KUKUTANA NA NDUGU ZANGU JAPO TUONGEE KIKWETU KIMATUMBI YAANI KISWAHILI.
BLOG IDUMU IDUMU IDUMU IDUMU DAIMA.
MDAU WA TURIN-ITALY.
NIPO HAPA KWA SASA NI WIKI MBILI NAHISI UPWEKE MKUBWA SAAAAAANA KWANI SINA MTU YEYOTE WA KUONGEA NAE KIKWETU KIMATUMBI YAANI KISWAHILI, NAOMBA KWA YEYOTE MTANZANIA HAPA NAOMBA TUWASILIANE ILI KIKOMBE HIKI CHA UPWEKE KINIEPUKE.
EMAIL YANGU: mtanzaniamwenzenu@yahoo.com
MJOMBA MICHUZI NINA IMAN KUPITIA BLOG YEETU HII ILIYOTUKUKA NITAWEZA KUKUTANA NA NDUGU ZANGU JAPO TUONGEE KIKWETU KIMATUMBI YAANI KISWAHILI.
BLOG IDUMU IDUMU IDUMU IDUMU DAIMA.
MDAU WA TURIN-ITALY.
Acha Ngenga;
ReplyDeletempaka kijijini kwenu wajue uko Torino!!?
COMUNITA' TANZANIANA IN ITALIA. Via Cesare Rosaroll N° 6 (PAL.HOTEL PRATI ) 80100 NAPOLI, ITALY CLICK HERE TO CONTACT US
Welcome - Karibu- Benvenuti !
Sede Legale
Comunita' Tanzaniana in Italia
VIA CESARE ROSAROLL 6
80100 NAPOLI, ITALIA
Sede Operativa .
Avv. Angela Felicia Senese.
Aversa CE
watu wengine akili zao wanazijua wenyewe! ww umekuja italy kwa shughuli zako fanya mambo yaliyokuleta siyo unatafuta watu muongee kiswahili huo ndio mwanzo wa umbea na unafiki!huku ulaya watu wapo busy kutafuta maisha siyo kupiga soga kama ume miss kiswaili piga simu bongo ongea weeeeeeee paka na majirani! nb. njoo huku napoli.
ReplyDeletekuna kaka mmoja anaitwa mwana apolo dadri yupo facebook ni mshkaji sana, mtafute atakupa company, na anajua vizuri kiitaly , all the best
ReplyDeleteWEWE UNATAKA WATANZANIA WA NINI!!KAMA UMEAMUA KUJILIPUA JILIPUE MWENYEWE,USITAKE KUTAFUTA WATANZANIA..WATU WAKO BUSSY ...KUFA KIVYAKO
ReplyDeleteHuna habari mdau nambari mmoja wa blogu ya jamii Chibiriti yupo huko Italy?
ReplyDeletewenzako wakija ulaya wanawakwepa wa tanzania wenzao kwani wanazani , awana maendeleo au wambeya sana . sasa wewe umekuja ulaya unawatafuta ndugu zako , kweli wewe mzaliendo.
ReplyDeletehila sorry upati mtu , kwa uzoefu wangu mtanzania wenye kidogo hatafutu mtu , sasa wewe utakuwa wa pekee sana !
lol
Mtu anaomba contacts za mtu aliyepo Turin (Torino) nyie mnampa ya Napoli wapi na wapi!!.Subiri mimi nipo Turin ntakutafuta kesho kwa e-mail yako na ntakupa channels za kuwapata Watanzania wengine hapa Turin.
ReplyDeleteWatoa Maoni,
ReplyDeleteJamani kama huwezi kumsaidia si lazima utoe maoni ya ovyo. Hivi ndoo ilivyo kwa wabongo wengi hatoi maoni bila kupaka. Vijembe havijengi ni vinakatisha tamaa tu. Tuwe na maoni ya kujenga na kusaidia jamani.
Tunahitaji kubadilika kwani hii sasa inakuwa ni tabia kwa wabongo. Mtu akitoa hoja nzuri wewe unamponda si polele au kumtisha. Sidhani kwa njia hii kaa tutakuwa na muelekeo mzuri.
Itapendeza sana tukibadili tabia hii.
Muhigo.
WEWE MUULIZIE BARAKA WA CHIBIRITI WANAMJUA ITALY NZIMA MBONA? POPOTE ULIZIA WATAKUMWAMBIA ALIPO.
ReplyDeletemtu anataka watu wakuongea nae kiswahili wapige story! wewe unamwambia amtafute Apolo anajua vizuri kitaliano! ha ha hahah!huyo jamaa ame miss kiduku siyo kiswahli.
ReplyDeleteUTU UZIMA JIWE JAMANI.......Mpaka awaambie kwamba anatafuta MWENZA ndo muelewe.....hebu jaribuni kuwa watu wazima.....mambo ya kiutu uzima hayazungumzwi kiwazi wazi ila tunatumia lugha za ishara kama alivyofanya mwenzenu.....cha ajabu mnamuelekeza kwa midume myenzake ili iweje sijui...Kha!....HEBU BADILIKENI JAMANI!
ReplyDeletekama umekuja na zawadi kama dagaa kauzu mchunga bamia konyagi snema na jezi za bongo sembe chapa jogoo mawese,nije tuongee kiswahili. mdau turin
ReplyDeleteNdugu yangu mimi ningekushauri kama umemiss kuongea kiswahili,rudi bongo,huko kuanzia asubuhi mpaka jua linachwea nikiswahili kwakwenda mbele,na kama haiwezekani basi fanya yaliyo kupeleka,wabongo hawatakusaidia chochote.Ushauri wa bure.
ReplyDeletePLAN WELL AHEAD na ndio maana visa wabongo hawapati kwa kuwa wakienda ubalozini nini unaenda kufanya hakijui:
ReplyDeleteHII MIJITU MENGINE INAPOTENGENEZA SAFARI HAIJUI WAPI INAENDA,ASHATOA DOLA ZAKE 3OOO AMEFIKA PAKUKAA HANA ANATAKA AKAWE MZIGO WA MTU,HUKU BURUDA WATU WENYEWE WAMECHOKA WATAKUCHUKUA WEWE UKAKAE NAO,
WALIOKUWEPO HUKU HAWATAKI KUONGEA HICHO KISWAHILI WE UNALETA ZAKO TAFUTA BICHI JENGINE NENDA BELGIUM UKAJIRIPUE TUTOLEE MIZIGO HAPA,
KAMA BARIDI INAKUPIGA UMEKUJA NA KISHATI HUNA HATA SHUKA KIVYAKO MAISHA YA ULAYANDIO HAYO.WENZAKO WALIONESHWA TUNDU LA STORAWAY WAINGIE MITINI KWENGINE SIO.
Hawa wote wanao mkashifu huyo ndugu yetu nadhani wali kuja kwa njia za PANYA (wazamiaji)hivyo wakijulikana wanaogopa kurudishwa, hata huyo chibiliti mimi simjui na nimekaa miaka3 sasa Italy.WaTZ waliozamia huku hawataki kujulikana shauri ya kazi zao za umachinga na maranyingine huwezi kuzitamka kazi zao kwa aibu yao.
ReplyDeleteUkitaka kujua ukweli uliza wanafunzi(TZ) wanaoasoma huku Italy, wanawaogopa watu wa aina hiyo kama ukoma. come nigerian.
Huyo ndugu awasiliane nami kwa simu 3333708992. Jisikie nyumbani.(toscany)