Ankal Michu,
Pole kwa kazi ngumu.
Naomba msaada tutani,kukaa kwa ndugu kume expire; Natafuta nyumba (self Contained) chumba kimoja maeneo ya Mbezi Beach,Kunduchi, Kawe, Masaki, Hoysterbay na Mikocheni.
Hasa servants quarter inayojitegemea , ili mradi liwe ndani ya geti. Hii ni kwa ajili ya mtu mmoja asiye na watoto na anayependa privacy. Ntashukuru iwapo tutawasiliana kupitia barua pepe kwa maelezo zaidi
Asante ,
Mtiifu
jbinagi@gmail.com
Pole kwa kazi ngumu.
Naomba msaada tutani,kukaa kwa ndugu kume expire; Natafuta nyumba (self Contained) chumba kimoja maeneo ya Mbezi Beach,Kunduchi, Kawe, Masaki, Hoysterbay na Mikocheni.
Hasa servants quarter inayojitegemea , ili mradi liwe ndani ya geti. Hii ni kwa ajili ya mtu mmoja asiye na watoto na anayependa privacy. Ntashukuru iwapo tutawasiliana kupitia barua pepe kwa maelezo zaidi
Asante ,
Mtiifu
jbinagi@gmail.com
katika maeneo yote aliyotaja utapata kawe tu one bedroom oysterbay ?
ReplyDeleteJIELEZE KWANZA WW MWANAMKE AU MWANAUME NA UMRI WAKO NA AJIRA YAKO.BY THE WAY PRIVECE UMEJIFUNZIA WAPI NA WEWE NDIO UNANZA MAISHA.
ReplyDeleteJamani Mabinti tuwafungie kwenye mageti na watu wazima wanjifungia wao wenyewe. Kuna nini kwenye maisha?Tunaficha kitu gani yani tunakuwa wafungwa sisi wenyewe.
ReplyDeleteToa maelezo zaidi yanayokuhusu ili kunitoa wasiwasi kabla sijajaribu kukupangisha "servant quarter" yangu niliyonayo hapa Mikocheni karibu na Cine Club:
ReplyDeleteJe unafanya kazi,wapi?/Unasoma wapi?
Jinsia yako, Umri wako
Wadhamini wako
Uko tayari kuchukuliwa alama za vidole?
Muda unaotaka kupanga.
Uko tayari kutoa kodi ya miaka miwili au mitatu?
Maswali na maelezo yote hayo ni muhimu na ni kwa nia njema tu hasa katika enzi hizi za utandawazi. Ni lazima kila mmoja wetu ajiridhishe kuwa usalama wake hauna shaka.
Hoysterbay Labda unaweza kupata, maaana ipo Maswa vijijini.
ReplyDeleteWewe hunifai, nina wasiwasi na watoto wangu wa kike utawalaghai tu na chipsi na vijizawadi vya lambalamba
ReplyDeleteJe una silaha yoyote unayoimiliki kihalali au isivyo halali??
ReplyDeleteUna rekodi yoyote na vijana wa IGP Mwema?
Watoto huna, je Mume, Mke au Hawara??
Huwa unakunywa pombe za kupitiliza( mlevi usiye mstaarabu)??
Anza kujenga kibanda chako, hayo maeneo unayotaka watakushitukia.
ReplyDeleteSIKU HIZI ASKARI KANZU NI WENGI, UTAKAMATWA BAADA YA SIKU MBILI TU.
yaani wewe mie nitajaribu kukupangisha. kuna jibaba fulani hapa mjinga sana, limenichosha kuchungulia mke wangu hadi akikojoa mimacho hiyo, wabongo bwana hawana wema hata siku moja
ReplyDeleteheee manyanyaso sasa ayo dah,bora tujenge vibanda vyetu tu
ReplyDelete