Meneja wa Oiko Credit Tanzania Deus Manyenye (Katikati) akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi jumla ya bilioni 2.6 kwa Saccos za Mtoni KKKT, Bunju, Vision, Yosefo na Mgandini walizotoa kama mkopo kwa taasisi hizo ili zikatumike kusaidia kupunguza umasikini kwa jamii ya watu wa kipato cha chini. Kulia ni Mwenyekiti wa Saccos ya Yosefo Ernest Ndimbo na kushoto ni Mwenyekiti wa Saccos ya Mtoni KKKT Amulike Ngeliama.
Meneja wa Oiko Credit Tanzania Deus Manyenye (Kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Saccos ya Mgandini Athumani Kigwe mfano wa hundi ya milioni 200/- walizotoa kama mkopo kwa taasisi hiyo ili zikatumike kusaidia kupunguza umasikini kwa jamii ya watu wa chini. Katika hafla hiyo iliyofanyika jana (leo) Oiko Credit ilitoa mkopo wa bilioni 2.6/- kwa taasisi tano ziliwemo Mtoni KKKT, Bunju, Vision na Yosefo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...