Mkurugenzi wa Shear Illutions Shekha Nasser akizindua rasmi jarida la Shear kwa kutimiza mwaka mmoja,hafla hiyo ilikwenda sambamba na tukio la Shear Charity ball usiku huu ndani ya hotel ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
Mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia Juhudi za CCBRT katika kusaidia watoto wenye matatizo,Bw. Januari Makamba akizungumza mbele ya wageni waalikwa katika harambee hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar usiku huu.Bw. Januari Makamba amewataka watanzania kusaidia watoto wenye matatizo ili nao waweze kupata mahitaji muhimu kama watoto wengine na kuwapunguzia matatizo waliyonayo.
Mkurugenzi wa Shear Illutions, Shekha Nasser akisoma hotuba yake mbele ya wageni waalikwa mbalimbali katika harambee ya kuchangia juhudi za CCBRT katika kusaidia watoto wenye matatizo.
Baadhi warembo wakiwa katika picha ya pamoja pindi waliposhiriki katika tukio la Shear Charity Ball usiku huu,ndani ya hotel ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.






Shear illusion?
ReplyDeleteBongo Hot!!!! Sasa Taji liundi mbona suti imebana? next time make sure suti iko sawa
ReplyDeleteMdau wa kwanza na wewe umeliona hili. Sio kiingereza sahihi. It should be Sheer Illusion.
ReplyDeleteIla ndio hivyo tena. Kibongobongo nani anajali bwana.
Inategemea na maana wanayokusudia na mambo ya word play. Shear ni kukata au kupunguza nywele au manyoya, kama ya kondoo. Maana sijui wanafanya shughuli gani? Inawezekana kuwa ni beauty salon au hairdressing au cosmetics.
ReplyDelete