
MUUAJI ATINGISHA JIJI LA MALMÖ NCHINI SWEDEN
Kuna mlenga shabaha anae washuti wahamiaji wanaoshi nchini Sweden Katika jiji la Malmö. Mlenga shabah huyo hatari anachagua wageni tuu ndio anaowapiga risasi.
Kuna mlenga shabaha anae washuti wahamiaji wanaoshi nchini Sweden Katika jiji la Malmö. Mlenga shabah huyo hatari anachagua wageni tuu ndio anaowapiga risasi.
Mpaka sasa idadi ya waliolengwa imefikia 15 ndani ya siku tatu..
Hali imezikuwa kuwa tata na wasiwasi sio kwa wageni tuu hata Polisi vichwa vinawauma maana mpaka sasa hawajapata muelekeo maalum ukoje.
Katika Mkoa wa Skåne ndiko kilipo chama cha wasiopenda na wana idadi kubwa sana ya wanachama wao kuliko miji mingine ya Sweden..Kwa habari zaidi soma Aftonbladet.se
Hali imezikuwa kuwa tata na wasiwasi sio kwa wageni tuu hata Polisi vichwa vinawauma maana mpaka sasa hawajapata muelekeo maalum ukoje.
Katika Mkoa wa Skåne ndiko kilipo chama cha wasiopenda na wana idadi kubwa sana ya wanachama wao kuliko miji mingine ya Sweden..Kwa habari zaidi soma Aftonbladet.se
Mdau wa Iceland
Rudini makwenu !! Mnangangania nchi zawatu kivipi.
ReplyDeleteMdau PAris
Mnaogopa nini ?? si mrudi kwenu. Nchi safii hewa fresh na chakula kibao. Subiri mulengwe shabaha kama wanyama pori .
ReplyDeleteDah! Mungu awasaidie huyo ranger asiwadhuru ndugu zetu wanaojitafutia maisha na walengwa wengine na ikibaki risasi moja ajimalize mwenyewe ili naye asikie utamu wa kudungua wenzake, ana roho mbaya sana mtu huyo.
ReplyDeleteSasa wewe mdau wa Paris kwani wewe huko ni kwenu? dunia nzima ndivyo ilivyo,mbona hata Bongo wanachinjana na sio risasi tuu? na tena hawawaui wageni tunauana hata sisi kwa sisi, cha msingi tuu ni kuiombea Dunia iondokane na maovu haya yanayoikumba kila kukicha, mara Russia, India nk, kumbe racism ipo Dunia nzima sasa
ReplyDeletemdau vizuri umeleta taarifa,lakini ingekua safi sana kama usingetia chumvi na sukari kwenye hii taarifa.waliolengwa ni watano tu mpaka sasa katika hizo siku 3 na si 15.asante
ReplyDeleteWabongo wana usalama kweli huko mnaona vipi wadhungu wanachuki na watu wengine hawataki watu waishi wala kwenda nchi zao, hawa ni wale ambao hawaijui dunia hawajawahi ktuoka nchini mwao kwenda nchi za watu wengine, sisi wadhungu wanakuja nchi zetu tunawapokea vizuri na kwa adabu na heshima wanaishi miaka na miaka husikii mdhungu kauliwa, ni watu wana ubaguzi sana wa rangi.
ReplyDeletewewe mdau wa paris inaonyesha hauna elimu hata ya ngumbaru..sio watu wate waishio nje wamekuja kubeba box hata huko afrika wazungu wapo pia, wazungu kuuwa watu sio lazima uwe kwao afrika kusini wameuwa wengi tu
ReplyDeleteHiyo kweli inatisha. Maana ninyi wadau hapo juu mnaposema rudini kwenu, huwezi kujua kwa nini hawa watu wako huko Seden. Wengi ni wanafunzi na wanasomea taaluma mbalimbali, short course, Diploma, degree, Masters, PhD, n.k.Sasa unaposmea rudini makwenu maana yake hawa watu wakose nafasi za masomo. Cha muhimu ni serikali ya Sweden ione namna ya kuwalinda hawa foreigners wasilengwe shabaha na kuuawa na watu wabaya!
ReplyDeleteKweli tembea uone. yaani anon wa kwanza na wapili juu hapo hamnazo, na inaonesha anon wa kwanza ndiyo aliyecomment ya pili.
ReplyDeletehivi kweli wewe uwe Paris umuambie mwenzako arudi makwao?kumbe wewe PAris ni kwenu si ndio? Yaani hukuwa na haja ya kusema Mdau Paris, kwani hiyo Paris utaisikia kwa wenzako tu. Pole yako kwa upumbavu uliokuwa nao... Majungu tu watanzania ndio maana hatuendelei. wacha wenzio wapige buku na box wajenge maisha wewe kula raha zako huko Paris uchwara yako. PUMBAVU ZAKO !
mdau wa kwanza na wa pili, hizo chuki na choyo za moyoni zitakuuweni sana. Mko wengi kama nyinyi mnaojidai kuja hapa kila siku na kupiga kelele ohh tanzania kuzuri hatuna haja ya kwenda nje ya nchi sisi, tuna raha na bobojo tele. Ukweli sote tunaujua mnasema hayo ni kwa sababu za wivu na choyo. kama kweli mna raha kwa nini mnaona kuna haja ya kuja hapa na makelele yenu hayo hayo kila siku!!!!
ReplyDeletekwa kuwa tu hamna uwezo au hamkupata nafasi za kwenda nje ya nchi isiwafanye kuwa na roho mbaya namna hiyo. Na hizo danganya toto zenu wachilieni mbali, Tanzania ni kwetu na tunakuja na kuondoka kila mara, maisha tunayaona na tunayajua yalivyo tanzania.
ha ha hahah nyumbani nako watoto wa mafisadi mh! bora ya kulengwa shabaha kuliko kunyanyasika ndani ya mamaland. pengine ss tikirudi tutawalenga shabaha mafisadi tupate murdercase
ReplyDeleteHapo juu acheni wivu wa kijinga. Mnafikiri dunia ya leo kila mtu akiishi kwake tu itasaidia wapi?
ReplyDeleteMbona hamuwaondoi wageni waliojazana TZ?
WE MTOA REPORT WE!
ReplyDeleteWATU 15 NA AMEANZA TOKEA MWAKA JANA SEPTEMBER KAMA SIKOSEI,
SIO SIKU TATU TU!
CHA AJABU NI KWAMBA, MBONA HAO POLICE WA KWENI MPAKA LEO HII ZAIDI YA MWAKA MMOJA TOKEA AANZE KUSHUTULA WAGENI HAWAJAMPATA?
INGEKUWA MTU MWEUSI ANAWASHUTULA WAZUNGU, WANGEMPATA SIKU HIYO HIYO EEH!
J.K PLIZIII WAPOKEEE WANAO WANALENGWA SHABAHA.MIMI HII HABARI NILIONA STV ILIKUWA LIVE NIKAOGOPA SANA MAANA HATA MDAU WA ICELAND NAE YUKO UKO UKO ISIJE FIKIA ZAMU YAKE TUKAKOSA YANAYOJILI UGHAIBUNI PANDE ZA SCUNDNAVIA
ReplyDeleteAHSANTE MDAU WA ICELAND KWA KUTABARISHA
We mdau wa hapo juu (09:30:00AM)wewe unafanya nini huko Paris? Au Paris ya manzese nini? Maisha ni popote bwana. Nina wasiwasi na wewe hivi upo Paris kweli? compare life ya huko then urudi huko kwenu unapopasema utajua kwa nini watu hawapendi kurudi makwao. Hovyooooooooooo!
ReplyDeleteJamani, Kiswahili kinapotea hivyo. Si lazima utafsiri neno moja moja. Tafsiri maana na wala si maneno. Mlenga shabaha ati ndio marksman au sniper? Huyo uliyemsema si mlenga shabaha ni muuaji anayeua wageni (labda ni mbaguzi wa rangi). mlenga shabaha katika Kiswahili ni mtu anaye jifunza kulenga shabaha kama kuruta wa jeshi wanavyoweka kibao (target) umbali fulani kutoka walipo na kufanya mazoezi ya kukipiga kwa risasi.
ReplyDeleteHUYU MDAU WA PARIS HOVYOOO NA WEWE RUDI KWENU.
ReplyDeleteHII KITU INANIKUMBUSHA SNIPER WA DC,MD.& VA MWAKA 2002.
haya bwana tutarudi lakin mpaka mama yako na baba yako wafe
ReplyDeleteNchi yoyote duniani ni lazima na muhimu sana iwe na wananchi wake in Diaspora. Ndio maana kila kukicha maelfu ya wachina wanakamatwa wakiwa wamejificha nadi ya makontena ktk bandari za hapa California. Ndio maana kila kukicha wageni tele wanaingia bongo.
ReplyDeleteMaisha ni popote pale duniani whether ni Bongo, Europe, US ama Kenya bora mkono uende kinywani.
Whether uko hapo Sweden, Asia, Australia, S. & N. America etc. ni sawa.
Otherwise wa-tz wooote mkiishi Tz basi hata mawazo yenu yatakuwa finyu ya kibongobongo tuu. Hii ni era ya globalization na laima wabongo tusafiri na kujifunza toka kwa wengine ili tuisaidie nchi yetu kwa kimawazo na kiuchumi.
Daima Msikate tamaa.
Mdau Los Angeles
wacheni tufe na bunduki kuliko kufia kwenye benchi la foleni za hospital bongo
ReplyDeleteKwanyie msemao turudi makwetu haileti picha nzuri. Mpaka leo jioni,kuna risasi zimepigwa tena na polisi wanashughulikia kumtafuta huyo mlengaji. Kwakweli ni jambo la kusikitisha na inaondoa amani kwa sisi tuishio maeneo ya karibu na tukio. Mtuombee!!
ReplyDeleteNyie wawili hapo juu mnatakiwa mpime vichwa, ninashuku kuna hitilafu ya ubongo
ReplyDeleteWe unayejiita mdau Paris kwanini usirudi na ww kwenu? unang'ang'ana na Paris Paris kitu gani
ReplyDeleteTutarudi makwetu pale tu haya mazungu yatakapoacha kutudhurumu na kunyonya mali zetu na kuilazimisha serikali yetu kuacha kuingia mikataba mibovu ya kuiba madini.
ReplyDeletePia tuitarudi nmakwetu mara tu haya mazungu yatakapokoma kuja kuiba rasilimali zetuna wao kuwekeza ktk kila kitu.
Wewe huko Paris ni kwenu au kama ni mtanzania umeukana uraia wa TZ kwa lengo gani hasa?ndumk x 4 lako.
Tupo huku si kwa kuwafurahisha wazungu bali mipango mibovu na ya udhalilishaji inayofanywa na mafisadi wa huko nyumbani.
ZAUNUNU-AMSTERDAM
jamani eee!
ReplyDeleteParis ni mji mkuu wa Kagera, yaani Bukoba. Sasa mnamwambie arudi kwao aende wapi tena wakati tayari yupo BKB ??
someni jiografia jamanii, itawasaidia ukubwani ..
Nasisi tuanze kuwakata vichwa wazungu hapa Tanzania ?
ReplyDeleteWATU WARUDI BONGO ILI IWEJE? KWANI WAGENI KATIKA HIZI NCHI ZA UGHAIBUNI NI WABONGO TU PEKEYAO?
ReplyDeleteSHWAIN HARUDI MTU BORA KUFIA HUKU UGHAIBUNI KULIKO KURUDI HUKO NYUMBANI KUNYANYASWA NDANI YA NCHI YAKO MWENYEWE
ALAFU WOTE WANAOSEMA WABONGO WARUDI MAKWAO UJUWE HAWAJAPATA NAFASI YA KUPATA VISA WANGEPATA WASINGELALA
MUNGU WAONDOE CHUKI HAWA WAZUNGU WASITUCHUKUE KWA SANA WALAU TUENDELEE KULA NEEMA ZAO HUKU UGHAIBUNI KWA MAANA MIMI SIPANGI FOLENI KUPATA VIDONGE HOSPITAL WALA SINYANYASWI NIKIFIKA KWENYE OFISI HUSIKA
MDAU WA UBELIGIJI MATANDA A.K.A TANALUZA
ughaibuni kuzuri mwee hasa ukiwa nazo
ReplyDeleteTurudi bongo kufanya nini wakati kazi za maana na madaraka wakubwa wanarithishana kama ufalme,Kingunge anamridhishwa mwanae,Makamba ndio huyo,Jk naye ana mtrain mwanae.bora kufia huku at least tuna hope.
ReplyDeleteBONGO HARUDI MTU WALA NINI, UNAFIKIRI KUPATA VIZA RAHISI? KAMA RAHISI MBONA HUJAPATA? ASIYEJUA UTAMU WA UGHAIBUNI NANI? JAMANI TUSIDANGANYANE USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA. HUKO BONGO TUTAKUJA SANA TU KUTEMBEA NA KUSALIMIA HAMNA SHIDA NI KWETU LAKINI BONGO TUNAKUJUA SANA NA WALA HAMNA HAJA YA KUTUELEZA. UZUSHI MTUPU. MAMBO A KUPEANA TU. WANAOJIFANYA WAKUBWA KUNYANYASA WENGINE WAO NA WATOTO WAO KUJILUNDIKIA MADARAKA NA KUIBA FEDHA ZA WALALA HOI. SUBIRINI SIKU INAKUJA TUKIRUDI TUNAKUWA FRUSTRATED TU MANAKE SYSTEM YA WIZI NA MAJUNGU TU NANI ANAITAKA?
ReplyDeleteWEWE HUKO PARIS NI KWENU ?
ReplyDeleteOngeeni yoooote, Suala hapa RUDINI NYUMBANI.
ReplyDeleteMdau Paris
tit for tat, huyo sniper akishuti mmbongo tu na sie tunaanza huku. tutatumia visu,mawe, mapanga nk kila mtu anayo haki ya kuishi popote ilimuradi asivunje sheria, kwa nini wao waishi kusiko makwao kama wako paradise na sie tuishi makwao kwa wasiwasi? jino kwa jino
ReplyDeleteAAAhhhhh sasa kuna watu wananitibua sana yaani mtu anasema bora afe kwa bunduki kuliko kurudi Bongo? au mnapenda kuuliwa na muzunguzi ama kweri Nyerere alisema ujinga wa mwafrika, kwani huku hakuna bunduki njooni tu mdau kutoka bongo
ReplyDeleteHuu ni mwanzo tu...mwili unanisisimuka nikifikiria siku ikifika ambapo ma-skinheads watawamaliza wahamiaji (hasa Waafrika). Mungu awanusuru ndugu zetu. Ulaya mambo haya yamewahi kutokea mara nyingi sana, k.m. shoa, holocaust, pogroms, inquisitions, n.k. kaeni chonjo.
ReplyDeleteNYIE WANA HARAKATI WA LIBENEKE LA JAMII NA WANA WA NCHI YA TANGANYIKA TUSIPOTEZE MUDA WETU KWA KUSHAURIANA ETI TURUDI MAKWETU
ReplyDeleteBONGO NI KWETU LAKINI HARUDI MTU HAPA KWA MAANA TURUDI TUPATE KUNYANYASWA NDANI YA NCHI YETU???
VIONGOZI WA NCHI NI HAO KWA HAO TOKEA NIANZE KUFUNGUA MACHO NILIPOZALIWA
AKITOKA BABA ANAKUJA MTOTO AKITOKA MTOTO ANAKUJA MJUKUU KWANI HIYO NCHI NI YA KIFALME AU VP???
MIMI NAIPENDA SANA NCHI YANGU LAKINI NIPO NA UWOGA MWINGI SANA KWANI NAJUWA NCHI INASIFIKA KWA AMANI LAKINI SIKU WANA RAIA WA LIBENEKE WATAKAPOKUJA KUAMUA UJUWE HATOBAKI MTU HUKO NYUMBANI
ITAKUWA NI CHINJA CHINJA KWA KWENDA MBELE MPAKA TUTAHAKIKISHA NCHI TUMEWACHA IKIWA TUPU SASA WAJE WATU WENGINE WAJE KUISHI NA KUANZISHA JINA LA NCHI
WANA WA NCHI WAMECHOKA MPAKA BASI YANI WE ACHA TU NA SISI TULIOKO HUKU TUSIRUDI NA NYIE MLIOBAKI MKIPATA NAFASI YA KUJA NJOONI KARIBUNI SANA WALALAHOI WENZETU MJE KUISHI MAISHA YA USAWA KWA WOTE HIYO SIO NCHI NI JUMBA LA FAMILIA
MDAU ALIECHOKA NA HALI YA HUKO NYUMBANI......mexico city.