Waimbaji wa bendi ya Twanga Pepeta,wakiwapagawisha mashabiki waliofika katika tamasha la filamu za Ulaya linaloendelea kwa wiki ya pili sasa katika ukumbi wa sinema wa new world cinema,Mwenge jijini Dar.ambapo leo wapo katika viwanja vya mnazi mmoja kuonyesha filamu hizo.
safu ya ushambuliaji ya wana wa kutwanga na kupepeta ikiwajibika ipasavyo mbele ya mashabiki waliofika katika tamasha la filamu ndani ya viwanja vya mnazi mmoja leo.





Natoa just ka comment kuhusu picha iliyosema, "WATASHA PIA WALIKUWEPO..." IKIWA NAISHI NJE MIAKA KADHAA, NAJARIBU KU-IMAGINE COMMENT HII IPO KWENYE CHOMBO CHA HABARI CHA HUKU NINAKOISHA, ISOMEKE, NA WAAFRIKA(AU WEUSI AU JINA LOLOTE LILE),WALIKUWEPO" IKIWA NI MAELEZO CHINI YA PICHA YA WAAFRIKA (AU WEUSI) WALIOHUDHURIA SHUGHULI FULANI, SIJUI TUNGEIONAJE?
ReplyDeletePOLITICAL CORRECT? AU HAINA SAME
HISTORY?
MDAU NUTRO KANADA
Mdau wa CANADA we Mshamba tu¬
ReplyDeleteDa huyu Demu Fina Mango nilikua namzimia sana...ndugu yake alikua rafiki ya sister wangu. Tulizuka kwao siku moja miaka kama ishirini na kitu imepita...nikiona picha yake bado damu inakimbia kiaina..
Fina nipigie angalau simu kabla Dunia haijaisha!
M.Gonza
Mdau LONDON