Tunasikitika kuwatangazia kifo cha Mchungaji MATIKU THOMAS NYITAMBE


kilichotokea leo huko TARIME, MUSOMA-TANZANIA kwa ajali ya gari.Marehemu alikuwa anasafiri na mpenzi mkewe ambaye naye inasadikikaamepata majeraha. Ni jioni hii tu ndio ametolewa kwenye chumba cha ICU

(Intensive Care Unit).

Marehemu ni baba mzazi wa:
1. Beatrice Nyitambe Chisumo (Mke wa Bernard Chisumo)
2. Mrs Veronica Dibogo na,
3. Soni Nyitambe
ambao wote wapo hapa Uingereza.
Msiba upo
14 Rothwell Walk
Caversham
Reading
RG4 5DB
Kwa mawasiliano zaidi tumia simu zifuatazo:
Benard Chisumo
Mob: (0) 787 612 6862
Home: (0) 118 954 5890

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mwenyezi Mungu awape amani na faraja familia, ndugu na marafiki wote wakati huu wa msiba na siku zote.

    Aidha tunamwombea mama Nyitambe ili aweze kurejea katika afya yake mapema.

    ReplyDelete
  2. VEREDIANA POLE SANA KWA MSIBA HUU MZITO,MUNGU AWAPE NGUVU NA SUBIRA.

    TUKO PAMOJA KATIKA HILI NA TUNAWAPA POLE WOTE .

    KWA NIABA YA WAFANYAKAZI WA SDV TRANSAMI TANZANIA
    HATBAH MDUMA
    BOND DEPARTMENT.

    ReplyDelete
  3. POLENI WANAFAMILIA KWA MSIBA...!

    TUMEPOTEZANA KIPINDI KIREFU HASA SONI TULIKUWA MABEST SANA PRIMARY.MUNGU AKUPE MOYO WA FARAJA NA FAMILIA KWA UJUMLA.

    LA MSINGI TUJIFUNZE KUHESABU SIKU ZETU ILI KIFO IWE NI KULALA USINGIZI TU WA KUTUMAINI KUMLAKI JEHOVA AJAPO

    BENJAMIN KUSSAGA

    ReplyDelete
  4. Ndugu zangu wote, familia ya Mchungaji Matiku nyitambe na Kanisa kwa Ujumla tunawaombea Mungu awafute machozi hasa katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mzee wetu.
    Neema ya Mungu iwafunike!

    Hassan J. Mosoka

    ReplyDelete
  5. Poleni sana wana familia wa Mzee Nyitambe. Niliishi naye hapa Marekani enzi za uanafunzi wake na nitamkumbuka daima.

    Emmanuel Muganda

    ReplyDelete
  6. Mzee Nyitambe amekua role model wangu katika maisha. Mungu amuweke pema peponi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...