


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sijui niseme hizi picha zinanikumbusha ile movie ya "Time travellers" au "Going back in time"? Nakumbuka zamani(mwanzo wa miaka ya 80) palikuwa na kitabu cha Atlas kinaonyesha picha za Pemba na Unguja zilikuwa hivi hivi.Yaani hapa nina raha tupu.
ReplyDeletekuna picha zimenikumbusha picha za kule Afghanstan!!kumbe pemba ndivyo kulivyo
ReplyDeleteHizo Burqa..... Asante Michuzi maana nilikuwa katika mchakato wa kutembelea Pemba lakini burqa sijawahi vaa... inakuwaje hapo au ndio bakora!
ReplyDeleteSafi sana pemba inaanza kujengwa upya hureee. Wana Mbagala wenye asili ya Pemba twende tukalete maendeleo yumbani tukajenge mji wetu. Kidumu....
ReplyDeleteMichuzi huna lolote, hii najua ni moja ya kampeni zako za CCM...
ReplyDeleteTutolee hapa
Mh! Kwenye hiyo hoteli hapo Mgombea wetu hawezi kuingia na Mchumba wake! Habari ndio hiyo!
ReplyDeletemgombea wenu nani hawezi ingia na mchumba? bora hata mchumba mana anaweza kumuoa kuliko kupokonya mke wa mtu ovyoooooooooo janaume zimaaaaaaa
ReplyDeleteMtowa maoni wa tatu una akili finyu sana. Akili zako ni za kitoto sana, huna la kufanya na maisha yako?
ReplyDeleteTwaswira zote hizo hujaona kitu ila burqa! Umjinga kiasi gani wewe? Hukufika pemba na wala usifike huzidishi wala hupunguzi.!
Nani anataka watu wenye mentality kama zako?
mdau #3 juu
ReplyDeletena ngoja CUF wachukue nchi adabu zitawashika na mtazoea kuvaa tu kama mnavovaa vichupi ughaibuni
visiwa mwanana sana ivi
hivi huwezi kuwa mwislamu bila vaa hayo ma scupy burka hayo niliona waafghanistani/ wataleban wanawalazimisha wanawake zao kujigubika kisa wasipovaa watwatia mshawasha
ReplyDeleteKuna mtu mmoja ameshtukia hapa kama hivi ni kampeni tu za kuitangaza CCM Hata mimi nimefahamuy moja kwa moja ila mwenzangu ameshanitangulia.
ReplyDeleteHaya hata wakifanya nini pemba hawapati kitu,Pemba haina hata waziri mmoja,pemba haina hata wizara moja,hadi wakuu wa mikoa wanakaa Unguja je kutakua namaendeleo gani,Nyumba ya ghorofa pema ndio hizo mbili mloziona tu.
Bongo mtakomaaa wapemba wote wameamua kujenga kwao sasa!
ReplyDeleteMdau usinikasirikie bure, mie nimesema kulingana na hizo sheria za hoteli, mgombea wetu hawezi kuingia humo na mchumba wake hata kama ni mke wa mtu haijalishi sisi tunajua ni mchumba wake maana hajamuoa bado ingawa zamani alikuwa kimada wake. Kwa hiyo narudia tena mgombea wetu hawezi kuingia hiyo hoteli pemba!
ReplyDeleteIko Siku Nitafika Pemba, Pemba Kuzuri Kunanukia Marashi Ya Karafuu, Walahi Pemba Nitafika...
ReplyDeletesasa itakuaje hawa wanawake wakitaka kwenda ufaransa kwani huko serikali imepiga maruku full veil,wafaransa wanahofu kuwa wanawake wanalazimishwa kuvaa hayo mavazi na waume zao kama wanavyofanya watalebani
ReplyDeleteingekuwa tunakwenda mbinguni kwa mavazi basi pemba 100% tayari wanadada hao wameshakata tiketi,Mungu awabariki wawe wasafi wa kiroho pia,mimi najiuliza utafahamuje jirani yako?
ReplyDeleteBASI PEMBA HAKUNA UKIMWI KWA MAZINGIRA HAYO!!!
ReplyDeletemtoa mada wa saa 12:18 ungekaa kimya bila kuandika kitu ningekuona una busara kuliko kuandika vitu visivyoeleweka.
ReplyDeleteJifunze kuwa na adabu na imani za watu, xy nyoh !!!! zako
HILI TANGAZO LA HOTELI MMELIFAHAMU VIZURI HAPO HAKATAZWI MTU KUINGIA NA MSENGE WAKE KITU MUHIMU WAWE WAMEOWANA SASA SWALI LANGU KWANI PEMBA NDOA ZA NAMNA HIYO ZIMERUHUSIWA TAFADHALINI SOMENI VIZURI TANGAZO MIMI NAULIZA TU.
ReplyDeleteKWA MAADILI YANAYODAIWA CHINI YA TANGAZO ITAKUWA AJABU KAMA NDOA ZA SAN FRANCISCO ZINATAMBULIWA CHAKE CHAKE.
MAMA MIA.
MWENGE GENGENI.
Tupigie picha na utundike baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa ndipo utaijua Pemba halisi. Kwa sasa ni Pemba bandia.
ReplyDeleteanon wa Fri Oct 08, 12:18:00 PM uliambiwa na nani hayo? au nawe ni mmoja wa wale mbumbu wasiojua lolote na wakajifanya kuwa wanajuwa kila kitu?
ReplyDeleteUmeambiwa na nani au kusoma katika kitabu gani za sheria za kiislamu kuwa huwi muislamu bila ya kuvaa burka kama ulivyosema hapa?
Unajua ni nini burka? umeona wanaume wakivaa burka? jee una maana waislamu wakiume wote si waislamu kwa vile hawavai burka
Hata mimi sikujua Talibani wako pia Pemba. Na ngombe ndo chombo cha usafiri? waswahili bwana
ReplyDeleteBURGA IS A MOBILE PRISON?????au ni vazi la heshima kuwa mwanamke wa kiisilamu hapaswi kuonwa na mtu mwingine zaidi ya mumewe,naomba msaada wadau
ReplyDeletekweli tembea uone tunashukuru hawa wakoloni walituletea dini za Mungu tofauti tofauti hiyo ndiyo pona yetu sisi wafuata dini za kigeni kwani laiti tungeletewa dini moja tu sijui wengine tungefanyaje TUNAVYPENDA MWANAMKE UNYWELE SIJUI TUNGEFANJE KWA HILI?
ReplyDeletejamani acheni kumshambulia anony wa fri oct 08,12:18:00 PM mbona hajaongea kitu kibaya hapo ni ukweli kuwa watalebani,iran au saudi arabia mwanamke ni lazima kufunika kichwa tunaona kwenye tv kila siku na mwanamke atakayekiuka anapata adhabu ndio maana ameona bora aulize kwani huku bara haoni mambo kama hayo na kuna waisilamu wengi kuliko dini zingine?
ReplyDeleteVyangu nifiche na hizo Bhurka visionekane na mwanamme mwingine ila wewe vyako uvitembeze kwa wanawake zaidi ya mmoja unaoruhusiwa kuoa. Kuna haki kweli?
ReplyDeleteHuwa hizo nguo nyeusi zinawekwa kwenye mikoba wakija bwawani kwenye muziki na kisha huzivaa wanaporejea kwao. Usiwaone hivyo ndani huvaa vichupi na visketi vifupi.Jimama moja jambazi liliweka SMG ndani walipovamia NBC ubungo Dar kabla ya kuingia gesti hiyo wakaguliwe ati
ReplyDeleteTangazo lipo wazi na linaeleweka mwanaume aliyefunga ndoa na mwanaume mwenziwe ni ruksa, huko ni pemba kama mombasa vile. Wanaotoka nje ya pemba wanatakiwa wawe na uthibitisho wa ndoa hizo.
ReplyDeleteDuh , asante Ankal Mithupu kwa taswira hizi za Pemba.
ReplyDeletePamebadilika sana , naona hata maghorofa ni mengi sana.Nimekaa hapo nikisimamia ujenzi wa kiwanda cha makonyo 1982-84.Ghorofa ndefu ilikuwa Machomanne na mimi nikikaa ghorofa ya tatu!
Kweli ni kuzuri kama Tukyu na watu ni wema sana.
Siasa ziliwatibua watu hawa.
Na totoz vipi mbona hutuonyeshi?
Tanzania kuna uhuru wa mavazi. Ukitaka unaweza kuvaa burka usipotaka hulazimishwi. Naona kuna baadhi ya wachangiaji hapa juu wametoa comments ili wawatukane Waislamu na Uislamu na si kwa sababu nyingine. Lakini napenda kuwahakikishia : Sisi Waislamu tutaendelea kuweko Tanzania wasiopenda wakajitose jahanamu. Just get used to it: SISI WAISLAMU TANZANIA WE ARE GOING NOWHERE!!!! Wenye kutaka kuishi kwa heshima na sisi tutaishi nao kwa udugu, wenye kutuchukia hawatatufanya lolote ila chuki zao zitawaangamiza.
ReplyDelete