Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mh. Alex Massinda (katikati) akiwa na ugeni kutoka Tanzania unaohudhuria Semina ya Wabunge wa Canada na Jumuiya ya Madola. Kutoka kushoto kwa Balozi ni Mh. Mahmoud T.Kombo Naibu Wazri wa Habari, Utamaduni na Michezo kwenye Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kulia kwa Balozi ni Mh. Fatma A. Fereji, Mjumbe wa Baraza la Uwakilishi. Wengine katika picha ni Maafisa wa Ubalozi.
Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mh. Alex Massinda akiwa na ujumbe wa Maafisa kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma ambao wako Ottawa kuhudhuria mkutano.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ndugu Sokoine siku hizi yupo Canada? Hongera ndugu!!
    Washington DC.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...