Kwanza napenda kukupa hongera sana kwa hatua ya mbali uliyo fikia, hii inatupa moyo sote kuwa siku moja tutakua sehemu...
Naungana na watanzania popote Duniani kukupa Hongera..
Ankali mimi nilikua naomba unisaidie kuwajulisha wadau kuhusu mabadiliko ya jina la Tovuti ya Friends Connect zone,jina la kwanza lilikua gumu sana ambapo watu wengi walijiunga na kuondoka kutokana na muonekano wake.
Natanguliza shukurani zangu za dhati kwako.
MABADILIKO YA WEBSITE YA FRIENDS CONNECT ZONE
Napenda kuwajulisha wadau wote ya kua sasa Friends Connect Zone imebadilisha Jina kutoka http://grou.ps/mawasiliano na kuwa http://www.friendsconnectzone.tk/
Katika tovuti hii ya Friend Connect Zone. ni rahisi sana kutumia, kujiunga ni Burena na pia utapata maelekezo pindi ukifungua tuu tovuti hii, pia mtumiaji anaweza jiunga kupitia Facebook ama myspace mtumiaji akiwa ndani ya tovuti hii ataweza tafuta marafiki,ataweza weka picha zake,video, kutazama movies mpya kila siku, na mambo mengine zaidi utaweza kuyajua pindi utakapo jiunga katika tovuti hii....
Napenda kuwakaribisha sana Watanzania wote popote Duniani na wadau wengine wote.
Si hivyo tuu mtandao huu mpya utakuwezesha kuchat muda wote ambao atakuwa hewani na marafiki watakao kuwa hewani,pia ataweza kuona yuko wapi katika muda wa nchi aliyopo.
Nawaombeni ndugu zangu tujiunge katika mtandao huu, na pia tuwaalike na wenzetu wapate kujiunga, kwa pamoja tuendeleze tecknolojia nchini kwetu,na mawasiliano kwa ujumla. Kama wenzitu mashariki ya mbali wameweza kwa nini sisi tushindwe? nawashukuruni nyote na karibuni sana.
Jina la website: Friends Connect Zone
Link mpya ni:
http://www.friendsconnectzone.tk/
kwa maoni nitumie kupitia email apo chini
email:friendsconnectszone@gmail.com
KWA PAMOJA TUNAENDELEZA LIBENEKE LA GLOB YA JAMII

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...