
Akiwa mjini Nairobi katika uzinduzi wa muongo wa wanawake barani Afrika Asha Rose amesema Umoja wa Mataifa uko msitari wa mbele kusaidia ukombozi wa mwanamke barani Afrika.
Akizungumza na mwandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa Irene Mwakesi amesisitiza haja ya viongozi wa Afrika kutoa fursa zaidi ya kuwawezesha wanawake ili kusaidia kizazi hiki na kijacho.
Binafsi amesema kama mama, mke na mwenye wadhifa wa ngazi ya juu duniani anajituma na anaamini kila mwanamke anaweza kuwa kama yeye hata zaidi ya yeye. Msikilize akinena na Irene.
kusikiliza moja kwa moja mahojiano hayo ingia http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/detail/114574.html au
http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/ na
http://www.facebook.com/UNRadioKis na kama una swali waandikie
nducha@un.org na kariukia@un.org
http://www.facebook.com/UNRadioKis na kama una swali waandikie
nducha@un.org na kariukia@un.org
Mi ananifurahisha huyu dada asivyoishi kwa dawa ya nwyele.
ReplyDeleteNwele zake nzuri zaidi ya watia dawa.