Baadhi ya mawakala wa vyama vya siasa wakiwa katika heka heka za kujaza fomu za tume ya taifa ya uchaguzi ( NEC) kabla ya kula kiapo cha utii na uaminifu wakati wa kusimamia upigaji wa kura Oktoba 31, mwaka huu wakiwawakilisha wagombea wa vyama vyao , kama walivyokutwa na mpiga picha wetu nje ya Jengo la Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.Msimamzi mkuu wa uchaguzi wa Jimbo la Morogoro Mjini, Jarvis Simbeye, ( aliyenyanyua noti book juu) akiwahamasisha baadhi ya Mawakala wa Vyama vya Siasa kuharakisha kujaza fomu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili wawezekuapishwa , zoezi hilo lilifanyika jana nje ya Jengo la Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Mmoja wa Ofisa msaidizi wa usimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Morogoro Mjini, ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja , akigawa fomu za kiapo za Tume ya Taifa ya Uchaguzi ( NEC) kwa baadhi ya mawakala wa vyama vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 31, mwaka huu.Picha na John Nditi - Globu Ya Jamii,Morogoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MHHH!!KIAPO AKISAIDII KAMA AJALA SIKU NZIMA NA AKIPATA HONGO YA LAKI MOJA ANAPOKEA...KINACHOTAKIWA NI ULINZI TUU IMARA
    MDAU..MACHAME

    ReplyDelete
  2. "Haki ya Mungu tena hatuibi kura!"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...