Charles Hilary, akiwa na mchambuzi wa soka katika kipindi cha BBC cha Ulimwengu wa Soka. Bi.Nisha Ligon pamoja nao ni Ali Saleh. Wakali Charles na Ali ni wakongwe katika anga hizo, Bi Nisha ni miongoni mwa wanawake wachache waliobobea katika uchambuzi wa soka, kazi ambayo anaoifanya kwa umahiri mkubwa hadi inatia raha. Picha na mdau Israel Saria

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hii imekaa vizuri sana wakati mwingine tuwekee,picha kama hizi ni bomba

    ReplyDelete
  2. Saria Asante sana kwa taswira hii makini.
    Charle Martin Hillary Nkwanga hongera sana kwa HAPPY BARTHDAY YAKO YA KUZALIWA. Miaka hamsini na mmoja sasa SAUTI PALEPALE NA MBINU NYINGI MPYA ZA KUTANGAZA soka ZIKO KALI KAMA WENBE. Na ma.....o hayo IPO.

    ReplyDelete
  3. kiswahili kibovu hicho michuzi! hiari yako, utaemaje kuwa kazi ambayo anaoifanya kwa umahiri mkubwa hadi inatia raha! Anatiaje raha hizo?

    ReplyDelete
  4. Kazi na dawa - kimiminika pembeni!

    ReplyDelete
  5. Hongereni, hasa "mzee" C. Hillary. Nakumbuka tangu miaka ya sabini amekuwa akinguruma.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...