
Charles Hilary, akiwa na mchambuzi wa soka katika kipindi cha BBC cha Ulimwengu wa Soka. Bi.Nisha Ligon pamoja nao ni Ali Saleh. Wakali Charles na Ali ni wakongwe katika anga hizo, Bi Nisha ni miongoni mwa wanawake wachache waliobobea katika uchambuzi wa soka, kazi ambayo anaoifanya kwa umahiri mkubwa hadi inatia raha. Picha na mdau Israel Saria
Hii imekaa vizuri sana wakati mwingine tuwekee,picha kama hizi ni bomba
ReplyDeleteSaria Asante sana kwa taswira hii makini.
ReplyDeleteCharle Martin Hillary Nkwanga hongera sana kwa HAPPY BARTHDAY YAKO YA KUZALIWA. Miaka hamsini na mmoja sasa SAUTI PALEPALE NA MBINU NYINGI MPYA ZA KUTANGAZA soka ZIKO KALI KAMA WENBE. Na ma.....o hayo IPO.
kiswahili kibovu hicho michuzi! hiari yako, utaemaje kuwa kazi ambayo anaoifanya kwa umahiri mkubwa hadi inatia raha! Anatiaje raha hizo?
ReplyDeleteKazi na dawa - kimiminika pembeni!
ReplyDeleteHongereni, hasa "mzee" C. Hillary. Nakumbuka tangu miaka ya sabini amekuwa akinguruma.
ReplyDelete