Rais wa Kenya, Mwai Kibaki akiwasalimia wananchi wa Kenya waliojitokeza katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi kuhudhuria sherehe ya mashujaa. Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.
vijana wa Scauti wakipita kwa heshima mbele ya Rais Mwai Kibaki (hayupo pichani) wakati wa sherehe za mashujaa zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi . Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.
Askari wa Jeshi la Kenya wakitoa salamu ya heshima kwa Rais Mwai Kibaki (hayupo pichani) wakati wa sherehe za mashujaa zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi . Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.
Wapiganaji wa vita vya Maumau wakipita kwa heshima mbele ya Rais Mwai Kibaki (hayupo pichani) wakati wa sherehe za mashujaa zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi . Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.
Kinamama ambao walishiriki kwa njia moja au nyingine wakati wa vita vya Maumau wakipita kwa heshima mbele ya Rais Mwai Kibaki (hayupo pichani) wakati wa sherehe za mashujaa zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi . Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.
Wananchi wa Kenya wakiwa wamejitokeza kwa wingi kuhudhuria siku ya mashujaa iliyofanyika leo katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi. Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi yao. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.Picha na Anna Nkinda- Nairobi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Gud 4 Kenya, wakifanya kila jitihada za kuleta umoja wa kitaifa.

    ReplyDelete
  2. NAWEWE NASIUSEME TUWEKE MJADALA KWANINI KULIKUWA HAIKO SIKU YA MASHUJAA,MZEE ODINGA ALIKUWA NI SHUJAA WA KENYA HAKUWA NA SIKU YAKE.TUKAONA TUWEKE MAMBO SAWA

    ReplyDelete
  3. Hongera sana wakenya kwa kusheherekea siku ya mashujaa.Mashujaa hawa si wa Kenya tu bali wa waafriko wote, and I feel proud.
    I am always intrigued by the Mau mau struggle, please tell us more about that effective resistance.
    Tumemsoma sana Dedan Kimathi where is he buried?

    ReplyDelete
  4. Achana huo ushabiki wa insinuations, eti, "NAWEWE NASIUSEME TUWEKE MJADALA KWANINI KULIKUWA HAIKO SIKU YA MASHUJAA..."

    Hayo ya kudai, "...TUWEKE MJADALA KWANINI KULIKUWA HAIKO SIKU YA MASHUJAA..." ni outside the context ya hicho mtundikaji alichotaka kutuelewesha!

    Zaidi, ameandikwa hapo juu:

    "...wananchi wa Kenya waliojitokeza katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi kuhudhuria sherehe ya mashujaa. Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo."

    Mwenye akili timamu atatambua kuwa hata Jaduong Jaramogi Odinga Oginga naye anakumbukwa!

    Oriti!

    ReplyDelete
  5. Ankal, shukrani, and thanks a million for sharing some tid-bits of how our East African neighbours celebrated their Heroes Day (Siku Ya Mashujaa) for the first time in their nation's history.

    I hope and pray that this is one of the signs of many good things that will come out of Kenya in its post '2010 Constitution' era.

    IMHO, all things considered, I would say that it was very unfair and unpatriotic to exclude or even ignore the combined valiant efforts of all the unsung heroes and heroines of Kenya, especially those who either contributed toward the struggle for indepedence in one way or another, those who gave up their livelihood as well as thousands who lost their lives during the vicious and bloody campaigns for Kenya's Uhuru (independence).

    So, it was right and fitting to see that Kenyans had agreed to come up with an inclusive day named "Siku Ya Mashujaa" as opposed to the previous "Kenytta Day" where only one individual was remembered, celebrated and honoured at the expense of all the unsung national heroes who were involved in the struggle from various regions of Kenya.

    National re-education is a very vital aspect for any nation that really cares for its past as well as for its future.

    Congratulations and best wishes to our neighbours (Kenyans) as they continue with the long walk to freedom. "Rome was not built in a day."

    NB: Ankal, naomba usisahau kutuletea ujumbe kama huo kutoka kwa jirani zetu wa Uganda pamoja na Rwanda, wakiti sherehe zao zitakapo wadia.

    Shukrani and thanks-a-million.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...