Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa wa Kujadili maendeleo ya Millenia kwenye Serikali za Mitaa aliomwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwene Hoteli ya Serena Mjini Kampala Oktoba leo.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kujadili Maendeleo ya Millenia kwenye Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowahutubia kwenye hoteli ya Serena mjini Kampala leo.Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Kampala leo tayari kwa kuhudhulia mkutano wa kimataifa utakaojadili utekelezaji wa malengo ya millenia katika serikali za mitaa utakaofanyika kwenye hoteli ya serena, Kampala kuanzia Oktoba 4, 2010. kushoto ni Balozi wa Uganda nchini Balozi Ibrahim Mukiibi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Uganda nchini , Ibrahim Mukiibi baada ya kuwasili kwenye uwaja wa ndege wa Entebe Oktoba 4, 2010 ambako atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano wa kimataifa utakaojadili utekelezaji wa malengo ya millenia katika serikali za mitaa utakaofanyika kwenye hoteli ya serena, Kampala kuanzia Oktoba 4,2010.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hivi hakuna mabalozi vijana tanzania????

    ReplyDelete
  2. Mkuu siku hizi nakukubali kwa pamba unazotia (yaani Uvaaji). Mambo ya sijui mtoto wa mkulima... ni sawa. Lakini uvaaji huu unaonekana nadhifu kabisa kulingana na hadhi yako na nafasi yako katika jamii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...