Taasisi za fedha za kigeni zinazidi kumiminika Bongo. Hii ni Bank of India iliyopo barabara ya Maktaba street jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Kama una vishida vyako uchwara...nenda kawaone....utafurahi mwenyewe

    ReplyDelete
  2. Michu ni vizuri pia ukaelezea kuwa hili jengo lilikuwa la Printpak na limekarabatiwa na kuonekana kama jipya ba ni fundisho kwa wale wanaofikiri solution ni kubomoa tu majengo ya zamani na kuiwacha Dar bila ya historia
    Che

    ReplyDelete
  3. Soon tutaona Bank of China hahah full mafamba

    ReplyDelete
  4. unashangaa bank of china?mbona uk na usa zipo na ni strong!
    unawadharau wachina wkt ndo wanabeba dunia kwa sasa?

    ReplyDelete
  5. Naona nje hapo wadau wanakula taimingi la magari ya Mwenge. Kwa maana wakati mwingine gari likifika posta mpya halisimami. Juu kwa Juu. Kweli usafiri Bongo kichefuchefu!

    ReplyDelete
  6. Uwekezaji oye!! I wonder who got that 10%?

    BTW, I love my country and I am a true Tanzanian.

    ReplyDelete
  7. Wewe Anony wa Sun Nov 21, 11:42:00 AM, ACHA UONGO WEWE

    ReplyDelete
  8. Watu wasione haya ni maendeleo! Haya mabenki yanajua wabongo bado tumezubaa, tunapigwa interest kubwa mno kuchukua mikopo ukilinganisha na nchi nyingine! Sisi tunaona kawaida tu. Vile vile kuna jamii kubwa ya kihindi, wanaosafirisha fedha kwao. Hio ndio hali halisi, tutake tusitake!

    ReplyDelete
  9. Ofcourse it is easier to open a such instution in Tanzania. It is a matter of 5-10%!! What do you expect from an Indian's bank? If we do not want to learn from Tanzania Railway Cooperation, then it might be too late for US!!!

    I do love my country!

    ReplyDelete
  10. Benki kibaooo lakini wabongo ni maskini...aagh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...