Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi ni Tanzania tourist board au Tanzania tourism board??tusije potosha watoto wetu!!
ReplyDeletemkakati mzuri sana TTB na pia ktk zoezi lingine TTB natumai itatoa tangazo/ website yenye habari za huduma mbalimbali kama fullpackage (speedboat/precisionair/usafiri wa kisasa wa bus/mahoteli/TAZARA/ local charter planes n.k) kati ya DSM, KIA, ARUSHA na ZNZ.
ReplyDeleteHuyu jamaa mbona anaongea kama anaimba?Au ni mimi tu nimesikia hivyo?
ReplyDeleteMsitangeze utalii Uingereza tu mje na ujerumani mtangaze katika Bundes liga ujerumani ndio wanaopenda kutalii
ReplyDeleteMount Kilimanjaro Born in Tanzania!
ReplyDeleteMdau uliyetaja Ujerumani kwa kweli umelongaaaaaaaaaaaa kama sio kunena nakupa tano. Hakuna taifa linalopenda kutalii ulaya hii kama Ujerumani. Haya TTB kazi kwenu,fungeni mikanda na muache kuuza sura.
ReplyDeleteJamani natumaini mliweza kuwaeleza vizuri hao watalii kwa kizungu. Halafu ushauri wa bure kwa TTB mwapeleke wafanyakazi kwenye kozi za lugha za kigeni haswa wale wanaotoka nje ya nchi kutuwakilisha. Maana kuna waliokuja huku kwenye maonyeshe ya biashara Ujerumani aiseee ilikuwa aibuuuuuuuuuuu.......
ReplyDeleteMalengo mazuri, ila ufikishaji wa ujumbe haukuwa mzuri.
ReplyDeleteKwanini msitumie pesa kupata msimulizi mahili wa lungha mnayotaka kuitumia...Hakuna hata mtalii mmoja atapata ujumbe kupitia video hii..hii ni kwa ajili ya sisi wamatumbi kujua nini bodi ya utalii inafanya kazi, kwanini usitafute mswahili anayeongea kiswahili safi...mlikuwa Uingereza kwanini msitumie pesa kupata ubora wa sauti nzuri na bora na ufasaha kutoka kwa muongeaji mzuri. Ayoub anaongea utafikiri anahani mashairi pia kama mtu ambaye hajui kiswahili,,hata anavyoitamka hiyo Tanzania..mweeee!!
Nimempelekea email brother michuzi juu ya issue hii aiweke hapa lakini kaitia kapuni.
ReplyDeleteIssue yenyewe ni kuwa Ayoub alileta taarifa hapa wiki iliyopita ya kuwa bodi ya utalii imedhamini shati za birmingham na balckburn za hapa UK, tena na picha zikawekwa.
Kuna tuliohoji ukweli wa taarifa ile pamoja na gharama za kusponsor timu za premier league ya UK. Ukweli ulidhihirika wiki endi iliyopita pale timu zote mbili zilizotajwa kuwa badi ya utalii imedhamini shati zao kuteremka uwanjani na nembo za sponsor wao wale wale wa zamani na sio bidiya utalii tanzania.
Jee Tanzania tumetiwa changa la macho? Mzee Ayoub tujulishe ulichoambiwa wakati ukikusanya taarifa zako, pia inafaa utuulizie kwa wahusika cha mno?
Ahsanteni, I hope michuzi hatoipiga buti post yangu hii
brother Michu jibu tuhuma hizo za anon wa Tue Nov 23, 07:56:00 PM.
ReplyDeleteKweli lakini balckburn hawakuavaa jezi zenye kuitangaza tanzania katika mechi yao ya week end iliyopita. Labda ungelifuatilia suali hili kwa waliokuletea taarifa zao na ukaziweka katika blog yako nzuri!
Taarifa zisizo za uhakika au zisizokamilika zitaiharibia jina blog yako brother!