hizi ni waya za umeme zilizopo katika barabara ya morogoro rodi maeneo ya kisutu,zikiwa zimechanganyika na zile za simu pamoja na za tivii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. MIUNDOMBUNU ahhhhh aimiiin MIUNDOMBINU teh teh teh teh wajameni.

    ReplyDelete
  2. UVIVU WA KUFIKIRIA NI HATARI.

    ReplyDelete
  3. hii ndiyo Dar-slam yetu.Ubunifu wetu sawa na kuku kutafuta chakula jalalani.

    ReplyDelete
  4. Acheni ushamba huo.
    Mbona mataifa makubwa kama marekani na ulaya mlingoti wa nyaya za simu, umeme na cable television ni moja tu ili kuondoa utitiri wa milingoti mingi?
    Pia kwa shirika la umeme milingoti yake ni kitegauchumi kwani makampuni ya simu na cable television wanarent kwao na kulipia caro kila mwezi.
    Bongo bado jinamizi la takrima ya azimio la arusha limetuharibu hatujui wapi pa kuanzia labda kizazi kipya kijacho.

    ReplyDelete
  5. Unajuwa hii miundo mbingu ya hapa tanzania ni balaa sijuwi kama jiji anafikiraga nini kuhusu hili n watu wamekaa kupokea pesa tuu kwanini wasianze mapema kupitisha underground pipes kwani hakika mwisho wa siku itakuja kuwa balaaa na hii bomoa jenga ya jijini....

    uncle pole hivi ni barabara ya morogoro rodi au barabara ya morogoro

    ReplyDelete
  6. Anony unayasema Ulaya wanatumia nguzo moja hiyo Ulaya gani? Hapa Ukerewe waya zote mbaka gas imepitishwa chini ya ardhi....angalia before hujacomment maana unaweza kuonekana wewe ndio mshamba.

    ReplyDelete
  7. wewe juha kalulu wa Fri Nov 12, 03:06:00 AM wacha porojo zako hapa, unajifanya kujua kumbe hujui lolote hapa. Soma kinachojadiliwa kwanza kabla ya kutaka kujionyesha, oh ulaya hivi marekani hivi! Kinachojadiliwa hapa ni msongamano wa nyaya na sio nguzo za nyaya! idiot!

    Kwanza kwani kila kinachofanyika ulaya na marekani ndio sawa na nchi zote ziige? haya basi usa wanaruhusu kumuliki bastola na sisi tanzania turuhusiwe?

    uk wasio na kazi wanapewa pesa za bure, wanalipiwa kodi za nyumba na bills za umeme na gas, na tanzania tufanye hilo?

    Grow up

    ReplyDelete
  8. .....Ankal baada ya kushiba "SEKELA" akaamua kufyatua picha hii.....!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...