nguzo ya umeme imepandwa katikati ya barabara maeneo ya Mbezi kwa Musuguri jijini Dar bila shaka ikiwa ni matokeo ya ubunifu uliotukuka na kubana matumizi maana nguzo hii ingepandwa pembeni ingebidi nyaya ziongezwe urefu. Pia kwa vile wapita njia wa magari na boda boda na miguu ni wengi maeneo hayo na jirani nguzo inasaidia kuwa kip lefti pia...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hiyo nguzo haichukui muda wataigonga, utuletee picha ikiwa imeangushwa, ni hatari sana kwa usalama wa binadamu!

    ReplyDelete
  2. Hiyo nguzo haichukui muda wataigonga, utuletee picha ikiwa imeangushwa, ni hatari sana kwa usalama wa binadamu!

    ReplyDelete
  3. Hiyo nguzo haichukui muda wataigonga, utuletee picha ikiwa imeangushwa, ni hatari sana kwa usalama wa binadamu!

    ReplyDelete
  4. Hiyo nguzo haichukui muda wataigonga, utuletee picha ikiwa imeangushwa, ni hatari sana kwa usalama wa binadamu!

    ReplyDelete
  5. barabara ndio imeikuta nguzo hapo mdau.hio nguzo ilikuwepo kabla ya barabara lol .tanesco wanatakiwa kuisogeza pembeni lakini si unawajua kazi zao jinsi wanavyofanya? mpaka nguzo isababishe ajali ndio itashughulikiwa.

    ReplyDelete
  6. Serikali (ya sisyemu ofkooz) wameshliona hilo na linashughulikia.fanya kaaz ndugu badala kulalama

    ReplyDelete
  7. Dr Remmy alishaimba..."niseme niini..., niseme niiniii..., niseme niinii miyeeee...!!! sina la kusemaaaa...."

    ReplyDelete
  8. Injinia gani huyu? Hili ni kosa la "public endangerment", akijitokeza mjanja - Tanesco watashtakiwa pesa njingi sana kwa ujinga wa watu wachache. Angalia sheria miundo mbinu!

    ReplyDelete
  9. hiyo ni njia ya umeme, barabara hapo imechakachuliwa tu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...