Naibu Spika wa bunge lililopita ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Njombe kusini mkoani Iringa Mh. Anna Makinda ameshinda nafasi ya kugombea Uspika kupitia CCM baada ya kujizolea kura 211 za wabunge wa CCM wakati Mh. Kate Kamba kapata kura 15 wakati Mh. Anna Abdallah kapata 14. Kura moja iliharibika. Pichani anaonekana Mh. Anna Makinda akiongea na waandishi wa habari baada ya ushindi huo. Picha na mdau Anna Itenda wa MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera Mama sasa na sisi tumempata Nancy Pelosi wetu,

    ReplyDelete
  2. Kaka hivi sio mkoa wa njoluma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...