Nyota wengi wa soka wameanzia chandimu kama wanavyoonekana hawa vijana wakicheza ufukweni mwa bahari sehemu za Coco Beach jijini Dar Jumapili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii sio chandimu, chandimu ni Kipira cha tennis unachezea kwa miguu ma goli madogo. ndio chandimu. MZ.

    ReplyDelete
  2. Nyanda Mensa kweli. Angepata shule ya kimpira makipa wengi wangemsikia redioni
    Blackmpingo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...