Home
Unlabelled
majabali ya tunduru
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ha ha haaa!!!we Mithupu unajua kuwa mtandao wako unasomwa na watu wengi duniani?na je unaijua jiografia ya nchi yako au unatembea na kuhisia tu?hivi kweli Tunduru iko mkoani Mtwara?si mara moja kukosea kuweka wilaya flani nipo mkoa flani wakati si kweli.Unatuaibisha sisi wa huku.
ReplyDeleteZAUNUNU-AMSTERDAM
TUNDURU NI MKOA WA RUVUMA . NA SIO MTWARA
ReplyDeleteTunduru ni mkoa wa Ruvuma Ankal. Kabla ya elnino umekuwa uyoga?
ReplyDeleteWenyeji waliodai kwamba yametokea baada ya el-nino walikuwa wanawafungeni kamba kabisa. Nilipita huko miaka mingi kabla ya hiyo el-nanihino, na hayo majabali yalikuwako hivyo hivyo.
ReplyDeletejamani samahani kama nakosea mbona nimeona ameandika Tunduru mkoa wa Ruvuma?
ReplyDeletewewe mtoa maoni wa 1 punguza lawama mzee mithupu ameandika Tunduru ni mkoa wa RUVUMA.acha kujichanganya
ReplyDeleteWEWE MTOA MAONI WA KWANZA PUNGUZA MAPEPE, HUJATULIA WEWE..... MTWARA UMEIONA WAPI HAPO....MITHUPU AMEANDIKA MKOANI R U V U M A. VERY CLEAR UNAJIAIBISHA MWENYEWE NA HIYO NETHERLAND YAKO.
ReplyDelete