Hi Michuzi,
Nimefungua club ya mazoezi ya aerobics kwa wale wadau wa
mazoezi kwenye hoteli ya Lamada.

Nawakaribisha wadau wangu wa mazoezi waje kujiunga bila kusita.Mazoezi
kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12 jioni hadi saa moja usiku

Nyote mnakaribishwa kuja kuondoa matatizo ya uzito na kuwa na afya bora .
Kwa maelezo zaidi nipigie
0713341889

Na kama ukitataka kujua mazoezi zaidi tembelea web site
www.omaryswai.blogspot.com


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Why is that dude wearing a blue jacket during an an aerobic workout in a gym???

    ReplyDelete
  2. this is what we need sio kila kukicha bar zinaengezeka.

    hongera aliyeanzisha hii....

    ReplyDelete
  3. Ramada au Lamada?

    ReplyDelete
  4. yes, vitambi kwishne! Muhimu sana hizi zoezi

    ReplyDelete
  5. anza saa kumi na moja bana vp wewe?? wengine tupo hapa jirani kusubiri one hr is a lot!! hongera sana tutakuja na location ni nzuri kwa kusubiri foleni ya kigogo!!!

    ReplyDelete
  6. Si mkafanye mazoezi nje tuu. Kando kando ya bahari au kimbilia ni njia rahisi sana kuliko kupoteza hela zako kwa hizo aerobics.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...