Nimefungua club ya mazoezi ya aerobics kwa wale wadau wa
mazoezi kwenye hoteli ya Lamada.
Nawakaribisha wadau wangu wa mazoezi waje kujiunga bila kusita.Mazoezi
kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12 jioni hadi saa moja usiku
Nyote mnakaribishwa kuja kuondoa matatizo ya uzito na kuwa na afya bora .
Kwa maelezo zaidi nipigie

0713341889
Na kama ukitataka kujua mazoezi zaidi tembelea web site
www.omaryswai.blogspot.com
Na kama ukitataka kujua mazoezi zaidi tembelea web site
www.omaryswai.blogspot.com
Why is that dude wearing a blue jacket during an an aerobic workout in a gym???
ReplyDeletethis is what we need sio kila kukicha bar zinaengezeka.
ReplyDeletehongera aliyeanzisha hii....
Ramada au Lamada?
ReplyDeleteyes, vitambi kwishne! Muhimu sana hizi zoezi
ReplyDeleteanza saa kumi na moja bana vp wewe?? wengine tupo hapa jirani kusubiri one hr is a lot!! hongera sana tutakuja na location ni nzuri kwa kusubiri foleni ya kigogo!!!
ReplyDeleteSi mkafanye mazoezi nje tuu. Kando kando ya bahari au kimbilia ni njia rahisi sana kuliko kupoteza hela zako kwa hizo aerobics.
ReplyDelete