Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwamba KATIBA ya nchi yangu iko VERY SPECIFIC na vipindi vya URAIS.......mboni tungeipatapata na sisi

    ReplyDelete
  2. huu ndio udikteta wa rais museven na kung'ang'ania madaraka kama luba,ameota pembe na mizizi pia kujaza ndugu na familia yake nzima katika serikali,na huyo huyo ndiye aliyekuwa ikiupinga udikteta uliopita uganda !!na sasa anaonekana akijaza mafuta kifaru chake "full tank"kuonyesha kuwa ni mbele kwa mbele !!jamani afrika sijui tunaeleka wapi !!???
    jonas,kampala ug.

    ReplyDelete
  3. MNALO HILO!.....poleni sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...