Marehemu Bariki Joshua Mamkwe


Siku, saa miezi na sasa mwaka mmoja umepita tangu mtoto wetu, kaka yetu, rafiki yetu mpendwa BARIKI JOSHUA MAMKWE alipotutoka tarehe 08/11/2009.

Maneno pekee hayawezi kuelezea ni kwa kiasi gani tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi. Siku chache za maisha yako tuliyoishi na wewe ulitufundisha mengi hasa upendo, uvumilivu na furaha ya kweli.

Unakumbukwa sana na wazazi wako Mr and Mrs Joshua Mamkwe (Bonga), kaka zako John, Remmy na Allen, dada zako wapendwa Judith, Hoisia, Victoria na Jacqueline. Binamu yako Diana, Elizabeth na Edward pamoja na shemeji yako Baraka. Ndugu, jamaa na marafiki zako wengi waliokupenda kwa dhati bado wanakukumbuka sana.

Ingawa kimwili hauko pamoja nasi tena lakini kiroho bado uko pamoja nasi na utaendelea kuwa pamoja nasi siku zote.
Zaburi 103: 1-5

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. It is so sad jaman!i knew that guy! si mlikuwa mnaishi kinondoni kipindi flani?Vick namkumbuka dada wa marehemu na Allen?mpo wapi?long time wazee wazima pia? okay mungu awajaze nguvu na imani.. Marehemu apumzike kwa aman, AMEN

    Masafiri
    Tulikuwa tunakaa mtaa wa isisi
    Kinondoni

    ReplyDelete
  2. tUMSHUKURU mUNGU KWA KILA JAMBO.
    DAIMA TUTAKUKUMBUKA. MAKULILO

    ReplyDelete
  3. Nina mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuwa rafiki yako ulipo kuwa hapa duniani. Ulinifundisha upendo, uvumilivu, na jinsi ya kupambana na shida bila kuwa na chuki. I love you man!! R.I.P my dear friend.

    ReplyDelete
  4. Tunakukumbuka sana, na tunakuombea kwa Mungu siku zote.

    ReplyDelete
  5. Nadhani namkumbuka Bariki, je aliwahi kuhudhuria day program pale YMCA chini ya Marehemu Mama Mchauru? RIP Bariki......

    ReplyDelete
  6. Hoisia and family may God give you strength. I hope you still remember me (your best friend wa Uzunguni Kaunda Rd). Let us keep in touch

    ReplyDelete
  7. Jamani Barry!
    I never knew kwamba hatuko na wewe tena. The truth is I have seen love thru his family. I wish all the families with a handicapped child should act that way. Actually we should be thankful to God for whatever he has given us.
    May Barry rest in peace!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...