
Dr. Tokuda atatoa msaada wa mashine hiyo kwa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Dodoma mara baada ya chuo hicho kukamilisha ujenzi wa jengo litalowekwa mashine hiyo.
Dr. Tokuda amepooza mwili mzima kwa miaka minane sasa lakini akili yake haikuathirika anamiliki hospitali 67 Japan na kwingineko na anatoa misaada mingi kwa sekta ya afya kwa nchi zinazoendelea. Aliyesimama ni Dr. Milanga Mratibu wa Tokushukai Medical Corporation kanda ya Afrika.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...