Mzee Augustine Cassian Mwingira wa Kigamboni anasikitika kutangaza kifo cha shemeji yake mpendwa Mama Mary John Mwingira kilichotokea tarehe 21/11/2010 DSM.
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa Dr. Edmund Ndalama,
Kunduchi Beach (Madini) hapa hapa DSM.
Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
Bwana alitoa na bwana ametwaa,
Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
Bwana alitoa na bwana ametwaa,
jina la bwana lihimidiwe.
-AMINA
mwanamke jasiri na mfano wa kuigwa! upumzike kwa amani mpendwa wetu! pole sana upendo na ndugu wote!
ReplyDeleteRIP mama Mwingira!
ReplyDeleteSaumu Mussa poleni sana wafiwa kwa kuondokewa na kipenzi chenu mungu amlaze pema amina
ReplyDeletePole saaana Upendo...
ReplyDeleteMama very influencial in Non governmental organisations. An exemplary catholic woman. Her experience in WAWATA is fubilous Rest in peace dear.
ReplyDeletePoleni kina (John) Ngahyoma, poleni kina Mwingira, poleni watoto wa marehemu John & Mary Mwingira.
ReplyDeleteRIP Bibi yangu mpendwa..
ReplyDeletePole sana Mwingira's, Mbena's, Ngahyoma's, Ndunguru's families..Wote tupo njia moja
HUU MSIBA NI MKUBWA SANA . HUYU MAMA ALIKUWA ANATEGEMEWA NA WENGI JAMANI , SIAMINI AMEFARIKI . MAMA MCHAPA KAZI NA JASIRI NI MFANO WA KUIGWA KWA WANAWAKE WOTE . NGO'S NA TAMWA POLENI SANA . JAMANI SERIKALI IMEMPOTEZA METEA HAKI YA WANAWAKE NA WATOTO WA MAMA MWINGIRA JAMANI POLENI SANA MMKUMBUKE UPENDO WA MAMA YENU KUSAIDIA HATA WATU ASIOWAJUA.MUNGU MBARIKI MAMA MWINGIRA JAMANI
ReplyDeleteHuyu mama alinikatia ticket kuja USA. Na alikuwa hanijui wala nini ,alikuwa na upeo mkubwa mnooooooo. Dah ,,,kweli kizuri akidumu kinaondoka . Mama mwingira ulikuwa mwema hapa duniani , ninaimani uko mbinguni na unaimba na malaika . kijiji chako na watu wote waliokuwa wanakutegemea mama umeacha majonzi sana hapa .
ReplyDeleteI am shocked to see this announcement. I worked with this strong dedicated woman when I was in Tanzania. I am really touched by her death.RIP Mary.
ReplyDeletePoleni sana familia nzima ya Mwingira's mipango ya mungu.
ReplyDeletepoleni
ReplyDeletePoleni wanafamilia wote kwa msiba huu mzito,tunaomba mwenyezi Mungu aiweke mahali pema peponi roho ya mama mpendwa, apumzike kwa amani
ReplyDeleteMICHUZI mbona unabania comment za mama mwingira . Hata salamu za rambi rambi bwana sasa umekubali kutangaza msiba huu kwa nini . sisi hapa houston tumepost salamu zetu hapo tupo kibao na hatuoni umepost sio poa namna hiyo
ReplyDeleteMr&Mrs Edimundi Ndalama poleni kwa kuondokewa na mpendwa mama yenu tunaomba no zenu za simu ili tuwapigie. Urusi Moscow. Rafiki zenu wa karibu
ReplyDeleteRIP Mama Mwingira. Nakumbuka ulimletea zawadi unga wa ulezi mtoto wangu wakati niko ughaibuni ulipokuja kumtembelea mtoto wako. Poleni sana wafiwa Pole sana Sabina
ReplyDeleteKwanza nishiriki na wenzangu kutoa pole kwa wafiwa.Aidha, nijiunge na wengine kumuombea mama Mwingira pumziko la milele. Huyu mama alikuwa ni changamoto kubwa sana katika various policy debates. Mwisho, naomba yeyote anayeweza aniondoe katika ujinga huu: Hivi RIP maana yake ni nini? Huwa naona kila mara mtu anapofariki neno hilo
ReplyDeleteMungu umemchukua mtumishi wako , ninauhakika yupo mbinguni . Mkombozi wa watu wasio na sauti. Kiongozi uliyekuwa hujilimbikizii mali jamani . Kweli mungu amechukua zawadi yake aliyotuachia jamani . Mama mwingira tutakukumbuka sana sana kwa msaada wako . Mama mwingira umefanya kazi yako duniani.
ReplyDeleteMDAU kama hujui kweli RIP ni kifupi cha REST IN PEACE.
ReplyDeleteSikumjua mama 'Mary Mwingira' ila nimemuona kwenye youtube video akizungumza miaka mitatu iliopita katika mahojiano. R.I.P mama mpaka Yesu atakaporudi katika neema yake akufufue katika ufufuko wa kwanza na ukastarehe naye milele.
ReplyDeleteBwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake Libarikiwe AMEN! Poleni sana kwa msiba huu wa Mpendwa MAMA!Tunamuomba Mungu ampe Mama Pumziko la Amani nanyi awajaze faraja kwani hakuna kati yetu ambaye hatapitia tendo hili ijapokuwa ni gumu lakini ndivyo ilivyo.
ReplyDeletePendo Ndalama pole saana
Mr & Mrs. Hassan Mneo (TX)
Poleni sana watoto wa marehemu: Upendo,Josephine,Sabina,Cassian,pamoja na watoto wa wadogo zako uliowalea mwenyewe tangu wadogo.Tupo pamoja kwenye msiba huu mkubwa wa mama yetu mpendwa Mary.
ReplyDeleteBwana ametoa, na Bwana ametwaa.Jina la bwana lihimidiwe.
Jamani poleni Upendo, Josephine, Sabina na wadogo zenu wote!! Mama apumzike kwa amani!!
ReplyDeleteJirani wa 1980-90s. Olympio St.
kizuri akidumu
ReplyDeletePoleni watoto na familia nzima ya mwingira na ngayoma.
ReplyDeleteDr.Edmund Ndalama, Upendo and family, poleni na msiba mzito. Tulimpenda sana Mama, lakini Mungu alimpenda zaidi na naimani amepumzika katika kiti cha ENZI.
ReplyDeleteJOY wa MOI/USA.
POLE SANA UPENDO. MAMA TULIMJUA FOR 25 YEARS.
ReplyDeletePERAMIHO GIRLS CLASS OF 1989.