Zoezi la upigaji kura za kumchagua Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekamilika hivi punde mjini Dodoma huku wagombea wawili wa nafasi hiyo Anne Makinda (CCM) akimteua mbunge wa Ludewa Mpiganaji Mh. Deo Haule Filikunjombe kusimamia kura zake na mgombea wa Chadema Mh. Mabere Marando akimteua Mh. Halima Mdea kwenda kusimamia kura zake.
Hivyo wakati wowote kuanzia sasa
matokeo yatatangazwa na spika atafahamika...
Walichakachua? Hebu Mdee tujulishe!
ReplyDelete