Marehemu Rehema M. Mkuruma

Familia ya Mwita Warema wa Masasi Mtwara wanatoa shukurani kwa wote walioshiriki kwa hali na mali wakati wa kumuuguza mke wake Rehema M. Mkuruma aliyefariki tarehe 02/11/2010 na kuzikwa 06/11/2010 Kijijini Kiagata, Musoma, Mara.

Ni wakati mgumu lakini nimefarijika kwa sababu yenu.Tunawashukuru Waganga na Wauguzi wa Hospitali ya Mkomaindo,Mganga wa wilaya,Mkurugenzi wa halmashauri ya Masasi na wafanyakazi wa halimashauri,tunawashukuru pia majirani zetu na ndugu na jamaa wote wa Masasi,Umoja wa Mara na Ukerewe waishio Masasi.

Ndugu na jamaa waishio Dar es Salaam,Jumuiya ya Maendeleo Kigata [JMK] Binafsi namshukuru Dr. Mwita kwa mapokezi Dar ,Mr Alfred Huruma-Mwanza na Mr.Waryoba kwa maandalizi ya mazishi ,Ndugu wa Mwanza na Musoma mjini ,Butiama ,Tarime Arusha, Moshi morogoro na Bunda.Wanakijiji wa Kiagata yalipofanyika mazishi na Uongozi wa kitongoji cha Kabwasi kwa upishi kwa siku zote za msiba.

Mwisho ni dereva wetu Wiston na kiongozi wa msafara tika masasi hadi Kiagata Musoma.
Bwana alitoa na Bwana alitwaa.
Jina la Bwana libarikiwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. she shines in heaven rip our sister

    ReplyDelete
  2. R.I.P mama. For my knowledge she is not there yet! She is sleeping in her grave till the day Jesus comes again (His second coming).

    ReplyDelete
  3. Hi there, Pole na msiba, May God Rest her beautiful Soul in Peace Amen.

    Is this Mr Waryoba has a first name Jackson? as Jackson Warioba?

    I've lost a long relative im looking for, from Kiagatta Village and the surname is Warioba, has children called Nico and Christopher. If he is the one, can someone contact me with the where about info. Our days are numbered and we dont know when it will be our turn, it will be nice ndugu kukutana tungali hai. Thank you.

    ReplyDelete
  4. Poleni sana wote mlioguswa na msiba huu. Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, mapenzi ya Mungu na yatimizwe, Amen!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...