nguzo ya umeme imepandwa katikati ya barabara maeneo ya Mbezi kwa Musuguri jijini Dar bila shaka ikiwa ni matokeo ya ubunifu uliotukuka na kubana matumizi maana nguzo hii ingepandwa pembeni ingebidi nyaya ziongezwe urefu. Pia kwa vile wapita njia wa magari na boda boda na miguu ni wengi maeneo hayo na jirani nguzo inasaidia kuwa kip lefti pia...

Hiyo nguzo haichukui muda wataigonga, utuletee picha ikiwa imeangushwa, ni hatari sana kwa usalama wa binadamu!
ReplyDeleteHiyo nguzo haichukui muda wataigonga, utuletee picha ikiwa imeangushwa, ni hatari sana kwa usalama wa binadamu!

ReplyDeletebarabara ndio imeikuta nguzo hapo mdau.hio nguzo ilikuwepo kabla ya barabara lol .tanesco wanatakiwa kuisogeza pembeni lakini si unawajua kazi zao jinsi wanavyofanya? mpaka nguzo isababishe ajali ndio itashughulikiwa.
ReplyDeleteSerikali (ya sisyemu ofkooz) wameshliona hilo na linashughulikia.fanya kaaz ndugu badala kulalama
ReplyDeleteDr Remmy alishaimba..."niseme niini..., niseme niiniii..., niseme niinii miyeeee...!!! sina la kusemaaaa...."
ReplyDeleteInjinia gani huyu? Hili ni kosa la "public endangerment", akijitokeza mjanja - Tanesco watashtakiwa pesa njingi sana kwa ujinga wa watu wachache. Angalia sheria miundo mbinu!
ReplyDeletehiyo ni njia ya umeme, barabara hapo imechakachuliwa tu!
ReplyDelete