Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ambaye pia ni Mwakilishi nchini Botswana Radhia Msuya akiagana na Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharib Bilal katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Seretse Khama baada ya Dk Bilal kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa jengo la Makao makuu ya Jumuia ya Maendeleoya nchi za kusini mwa Afrika ( SADC)mjini Gaborone Botswana uliofanyika mwishoni mwa wiki.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) na Rais wa Namibia Ifikepunye Phohamba akisoma kwa sauti maandishi yaliyoandikwa katika jiwe la uzinduzi wa Makao makuu ya Jumuia ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika muda mfupi baada ya kufanya uzinduzi rasmi wa jengo hilo mwishoni mwa wiki mjini Gaborone,Botswana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii kitu SADC naikubali sana and it has a great potential kuliko EAC ambayo watz tumeshakuwa negatively labelled.

    ReplyDelete
  2. Misupu please be respective...hao uliowataja ni waheshimiwa .... ni Mhe. Dkt. Bilal na Mhe. Balozi Radhia Msuya.....am so happy to see Mhe. Balozi Radhia, she is such a good person and she was like a mother to us when`she was in the Ministry.. Balozi Radhia we luv u and we r missing yu....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...