


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Habri za kazi,
ReplyDeletenakupongeza sana na Kazi ya kuhabarisha watanzania.
Ninaomba uniwekee suala langu niweze kupata msaada. Je Mke wa kwanza wa Dk. Slaa Mhe. Rose Kamili anapatikana wapi? mama huyu ameonyesha moyo wa ujasiri , uvumilivu na utulivu wa hali ya juu kipindi chote ambacho mumewe amekuwa na uhusiano mwingine pamoja na ndoa.
kwa ujumla mama huyu amenigusa sana kwa utulivu wake na ninaomba kujua iwapo mama huyu anaweza kutoa mhadhara wa uvumilivu kwa akina mama? je atapatikana wapi.
on the study tour "of malaysia" or on the study tour "in malaysia?"....nisaidieni mwenzenu sielewi kiingereza!!!!!
ReplyDeleteMtoa maoni wacha umbea siyo kazi yako
ReplyDeleteWewe una mambo yako ya binafsi! kasome mama Clinton alifanya nini wakati wa bwana wake akiwa raisi wa Marekani. Sasa wewe inabidi uwatafute wangapi hapo Tanzania kwani wengi wanaishi hivyo especially nyumba mbili mojawapo ikiwa siri yao!
ReplyDeleteHaya naona unataka mjadara!
Anapatikana Bungeni, nenda ofisi za bunge waulizie watakupa majibu maana sasa yeye ni Mbunge. Alivumilia yote akijua kuwa kutesa kwa zamu, na sasa ni zamu yake kutesa mwanawane. Huyo baba atajirudisha mwenyewe kwenda kula posho za ubunge.
ReplyDeleteHalafu kwetu sisi wairaqwi hiyo wala siyo ishu hayo mambo kwetu tumeyazoea ya wanaume kuwa na wanawake kibao, atakwenda kisha atarudi mwenyewe sasa wivu wa nini?
Waziri Mkuu Dr. Mahathir Mohamad ni mmojawapo wa viongozi mahiri sana katika nchi zanazoeendelea.
ReplyDeleteKila mara viongozi na watu wengine wanasema kuwa Malaysia na Tanzania zilijitawala wakati mmoja na zote zilikuwa karibu sawa ki-maendeleo. Leo hii Malaysia imetuacha mbali sana.
Ningeomba hao akina Hons. Zitto Kabwe na Muhonga Ruhanywa waje na siri ya kuendelea kwa Malaysia!
picha nzuri sana naona waheshimiwa wetu wako na dr Mahathir father of modern malaysia itapendeza tukijia wamejifunza nini kwa kiongozi huyu aliyekuwa waziri mkuu kwa miaka 22 kwa mafanikio makubwa
ReplyDeleteKichwa cha habari hii kiko sahihi..yaani kiingereza kilichotumika hapo ni sahihi.
ReplyDeleteHii ni kwa alieomba asaidiwe kuelewa kingereza.
HAO SI HAWAMTAMBUI KIKWETE,MBONA WAMEMTUMIA BALOZI ALIYETEULIWA NA KIKWETE,NA BILA HUYO HATA HUYO KIONGOZI WASINGEMUONA.
ReplyDeleteMimi nilifikiri viongozi wa Chadema huvaa safari suti. Ama hiyo ni ya kudanganyia wananchi tu?
ReplyDelete