FOR THE FIRST TIME IN H-TOWN.
Mama wa mitindo maarufu kutoka Tanzania bibie Asia Idarous-Khamsin, atawasha moto mjini Houston pamoja na vitongoji vyake katika fashion show ya mavazi yake ya kukata na shoka siku ya Krismas December 25, 2010.

Fashion show hiyo kabambe itaambatana na muziki mzito utakaoporomoshwa na Dj Luke kutoka DC & Dj Rex Houston.
Njoo ujionee vipaji na usanii katika fani ya mavazi pamoja na burudani ya muziki wa aina zote old schoo,Hip hop,Reggae,Bolingo,Kwaito,Chalanga,Soca Rhumba and Zouk.
Karibu upate ile kitu Roho inapenda
nguo bei gani hizo
ReplyDelete