Boma la Bagamoyo likipigwa sop-sop ili liwe kama mengine kibao yaliyokarabatiwa ama yanayokarabatiwa sasa na kuufanya mji huu mkongwe uwakewake na uzidi kuvutia watalii wa nje na wa ndani
mojawapo ya majengo yaliyokarabatiwa pamoja na barabara ambayo imejengwa kama iliyokuwa enzi hizo, sio kwa lami bali vitofali




TUNAJUA.
ReplyDeleteBandari Kuu (ya kuchimba) inakuja, Kiwanja cha ndege cha kimataifa kinakuja.
Last chance STRATEGIES. Nizubae nichekwe!!!
Tibaijuka umemwona huyo hapo posta?
ReplyDeleteHaiingii akilini... Posta ya kwanza East Africa leo inageuzwa Hoteli? Urithi wa makumbusho ya kale unaenda wapi sasa?!!! hii ni aibu sana na mi uharibifu wa vivutio vya utalii.. Hivi Bagamoyo viwanja vimeisha kiasi hicho?
ReplyDeleteMzozaji