Kigoda Cha Taaluma Cha Mwalimu Nyerere-Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
kinaandaa Vice Chancellor's Palaver tarehe 9 Desemba 2010 (Siku tuliyopata
Uhuru Wetu). Mbongi huu utafanyika katika ukumbi wa Nkrumah hapa UDSM
kuanzia saa 3:30 asubuhi mpaka saa 8:50 mchana. Na utakuwa katika lugha ya
Kiswahili.
Mada ya Mbongi ni: 'Uhuru una maana gani kwangu: mtazamo wa vijana'
Tutakuwa na uzinduzi wa kitabu cha Cheche: Reminiscences of a Radical
magazine Pia hotuba za Mwalimu zitaoneshwa na filamu ya Tamasha la Pili la
Kitaaluma la Mwalimu Nyerere.

Mbongi ni nini na ni lugha gani?
ReplyDeleteHiyo lugha ya mtaani. wengine huita MBINJI. Maana yake usingizi
ReplyDeletekwa kiswahili ungeandikaje?
ReplyDelete